Vitu vingine inabidii ucheke tu

Vitu vingine inabidii ucheke tu

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Hiv unaanzaje kupata usingizi?
Screenshot_20181211-213203_Instagram.jpg
 
Hii picha naona imesaambaa sana!

Alafu huyu sio ndio alisifiwa na bwana mkubwa hivi karibuni?

Atakuwa hajapewa onyo la kimyakimya kwelikweli?
 
Hapo alikuwa hajalala. Ni position yake macho yakaonekana hivyo. Hapo mkulu ndo katokea kwa kutisha sana. Something about jiwe's heart and soul. You can tell some from the photo.
 
Mtu kanuna namna hiyo kwanini usipate usingizi, Mpango mwenyewe wasiwasi debe hapo alipo.
 
Huyu jamaa si ndio ana wake wa4. Unafikiri kuwashughulikia wote ni mchezo, lazima apige nap
 
Kuwatosheleza wake wanne kikamilifu tena bado wabichi wabichi siyo kazi ndogo.
 
Alipuliwe na kombora kama yuleee wa north Korea.
 
Back
Top Bottom