Vitu vingine inabidii ucheke tu

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,654
Hiv unaanzaje kupata usingizi?
Screenshot_20181211-213203_Instagram.jpg
 
Hii picha naona imesaambaa sana!

Alafu huyu sio ndio alisifiwa na bwana mkubwa hivi karibuni?

Atakuwa hajapewa onyo la kimyakimya kwelikweli?
 
Hapo alikuwa hajalala. Ni position yake macho yakaonekana hivyo. Hapo mkulu ndo katokea kwa kutisha sana. Something about jiwe's heart and soul. You can tell some from the photo.
 
Mtu kanuna namna hiyo kwanini usipate usingizi, Mpango mwenyewe wasiwasi debe hapo alipo.
 
Huyu jamaa si ndio ana wake wa4. Unafikiri kuwashughulikia wote ni mchezo, lazima apige nap
 
Back
Top Bottom