Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 424
1.Waumini wanapoingia kwenye nyumba za ibada kupenda kukaa viti vya nyuma kwanza hata kama vya mbele vipo wazi
2.ABIRIA wa daladala waliosimama kutopenda kurudi nyuma hata kama kuna nafasi
3.Dereva wa dalaldala mchaga,konda mzaramo,yaani mtakaa kituoni hadi mkome