Vitu Vinavyofurahisha!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Kati ya Vitu vinavyomfurahisha mwanaume akiwa na demu mgeni chumbani ni pale demu atakaposema " Kafunge kwanza mlango vizuri "

Hizo mbio zake harmorapa anasubiri
 
Kama umeishi kijijini, ukitaka kuchom mahindi unaanza kwanza kuyachoma na maganda halafu baadae kwenye mkaa, sasa kunaambayo ukimenya maganda ili uyachome vizuri kwenye mkaa unakuta tayari yeshaivaa, hiyo ni sawa na hoja yako! Inapendeza.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom