Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,097
- 62,048
Mkiwa mko karibu karibu itapunguza hiyo hali ya kupigiwaLakini bado mtakula na nduguyo.
Elimu haina mwishoAisee ngoja tusome comments
Ndipo changamoto ilipoMungu hawezi kupa vyote,akikupa pesa basi anakunyima nguvu za kiume
Jidanganye. Hawa viumbe kama hawakutaki hata uwape kadi ya benki mshahara wako awe Ana withdraw yeye lakini bado hawa shukuru. Utasikia baby pesa imeisha nisaidie elfu 30 [emoji1787][emoji1787]Ukiweza kutimiza vitu hivi vyote kwa mwanamke; we kila siku kwako itakuwa ni sikukuu, hakuna kunyimwa tendo, muda wote ni 'wet season'
Kazi kwenu wakuu
- Kula
- Kuvaa
- Makazi
- Usafiri
- Kusimamia shoo vizuri
Itakubidi utumie vizuri, bakora ya kiume kumtulizaJidanganye. Hawa viumbe kama hawakutaki hata uwape kadi ya benki mshahara wako awe Ana withdraw yeye lakini bado hawa shukuru. Utasikia baby pesa imeisha nisaidie elfu 30 [emoji1787][emoji1787]
Suluhisho ni niniVyote ivyo unaweza mpa lakin kutombewa nje kupo pale pale cha msingi ishi nae kwa akili tu
Ukiwa unaupiga kwenye kuta, hatouchokaUkuni akiuchoka hata umpe ndege
πππ anayeanza kumtamani mwenzake, huwa ni mwanamke au mwanaume?ina maana huna kazi zingine zaidi ya kumridhisha mwanamke??!!!
yeye anakufanyia nini cha maana hata ujitoe kwa vyote hivyo??!!
ni ulafa tuu huo kupatiliza mtu ambae mungu alichompa hajaridhika nacho hadi anyoe nyusi kisha apake wanja,a yumkini kukoboa rangi ya mwili na kuondoa ile mungu aliempa!
eti wee ndio uje kumridhisha..kalagabagho
ina maana huna kazi zingine zaidi ya kumridhisha mwanamke??!!!
yeye anakufanyia nini cha maana hata ujitoe kwa vyote hivyo??!!
ni ulafa tuu huo kupatiliza mtu ambae mungu alichompa hajaridhika nacho hadi anyoe nyusi kisha apake wanja,a yumkini kukoboa rangi ya mwili na kuondoa ile mungu aliempa!
eti wee ndio uje kumridhisha..kalagabagho