Vitu muhimu kwa mwanamke

Vitu muhimu kwa mwanamke

Kwa awa viumbe ambao awatabiriki wanataka nini ^! Utachapiwa maana wanavisirani
Ukiweza kutimiza vitu hivi vyote kwa mwanamke; we kila siku kwako itakuwa ni sikukuu, hakuna kunyimwa tendo, muda wote ni 'wet season'
  • Kula
  • Kuvaa
  • Makazi
  • Usafiri
  • Kusimamia shoo vizuri
Kazi kwenu wakuu
 
Kunyimwa tendo Hakuna guarantee chief,

1. Unaweza usipokee Simu yake kwa wakati,Jioni yake Ukanyimwa tendo.

2. Unaweza ukawa nae kitandan ikaingia sms ya kimapenzi kimakosa, Ukanyimwa tendo pale pale bila kupepesa

3. Wambea wakampelekea umbeya, unamcheat, siku ya mechi Ukanyimwa mpk maelezo yanyooke.
 
Back
Top Bottom