vitu hadimu

Umenikumbusha basi moja wakati huo niko musoma ilikuwa inaitwa bukwaya.....!!!
 
hilo gari ndo unakuta abiria wamebeba hadi kuku,bata...

mbembeni wana mahindi ya kuchoma na maembe
 
Kama sio Leyland CD!!!!!!

Mlimani wanaume na wanawake vijana mnashuka maana haliwezi panda na mzigo mzito
 
lingependeza zaidi lingekua na rangi ya kijani na njano................
 
Yaani limenikumbusha mbali sana kiwatengu hebu njoo hapa uangalie mabasi ye kwenda kwenu lyasongoro na BARIKI MINJA
 
Last edited by a moderator:
ilimradi ilitimiza ahadi na kuhudumia vilivyo na kukudhii safari za wengi nchini !!
 
Umenikumbushia Leyland mbili hapa Moshi. Moja ilikuwa na rangi ya njano ikiitwa Utuka inaenda Uru Mawela na ingine ikiitwa Kindi inaenda Holili.
 
Enzi hizo mtu anazama ndani na fegi yake anavuta ndani ya basi na hakuna wa kumuuliza
 
Kama sio Leyland CD!!!!!!

Mlimani wanaume na wanawake vijana mnashuka maana haliwezi panda na mzigo mzito

Hahaha halafu kufanya gear shifting lazima dereva upate msaada wa tandiboi (enzi hizo neno kondakta halitumiki)...maana gear za hii makitu ni ndefu halafu inakwama kwama ku-shift...
 
Hahaha halafu kufanya gear shifting lazima dereva upate msaada wa tandiboi (enzi hizo neno kondakta halitumiki)...maana gear za hii makitu ni ndefu halafu inakwama kwama ku-shift...

Hiyo maneno ya gia ndio inamfanya tanboi awe ni sehemu ya basi!!!

Maana nyingine zinachomoka so lazima ashikilie
 
King Cross iringa hiyo Layland CD inalalamika km mbili unaisikia hahahahahahaha
 
kuna kitu inaitwa 'vitu laini' ipo iringa.ukiiona ni full burudani.next tym nitawawekea picha yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…