Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
unaweza ,na wanasema sana mbona.Mfano msichana ilishawai kufanya abortion huko nyuma
Unaweza kusema hili kweli kwa mpenzi/mume wako?
Pls msinihusishe na hilo ni maoni tu wakuu
khaaa utaachwa bwanaunaweza ,na wanasema sana mbona.
Mfano msichana ilishawai kufanya abortion huko nyuma
Unaweza kusema hili kweli kwa mpenzi/mume wako?
Pls msinihusishe na hilo ni maoni tu wakuu
khaaa utaachwa bwana
hapana ,inategemea na mtu mtu umwambiaye....ila wapo wanaosema na still maisha yanasonga.khaaa utaachwa bwana
Whoever is careless with the truth in small matters cannot be trusted with important matters.I think its better uachwe mapema kuliko jamaa aje kugundua wakati umeshakolea na u can"t go a day without him! wanasema "The TRUTH hurts, LIES kill"
Hujambo kakaMbaya ni pale mjomba wake huyo mumeo ndio dokta aliekuchoropoa mimba pale manzese lazima amng'ate sikio...
Huwez kumwambia kila kitu..khaaa, privacy is needed sometimes..Et umwambie nliwahi kubakwa,.au mama yangu mchawi..au mama yako alishawahi kutembea na baba yangu.. Au rafik yako alinitongozaga n'kamkubalia...lool umwambie vyote umezaliwa nae..aaah wapi..Mapenzi yapo ila c kihvyo..utaonekana mwehu..utadhalilika!
kwakweli inategemea na mapenzi yenu yalivyo........
1.kuna mapenzi ,zaidi ya kuwa wapenzi mnakuwa marafiki sana na mnaelewana sana inafikia mahali you all confess to your past experience kiasi kwamba some you take them as jokes.
2.kuna mapenzi mtu anaona kuwa sasa your looking for the future na kila mmoja analake kifuani kwahiyo mtu anaona atoe tu kwa kadri atakavyoona yeye inafaa.
3.kuna wale ni wadadisi sana mko kwenye uhusiano unaulizwa maswali mengi sana ambayo inabidi uyajibu kwa kadri unavyoona inafaa kulingana na uelewa wa huyo mtu(ila ubaya wake uulizwe halafu udanganye siku aje kujua ukweli ,patachimbika sana)
4.kuna wale ambao si waelewaji kulingana na ulivyomsoma ,huwezi kumwambia hata hiyo kidogo.
5.kuna wale ambao ni too much open guy/lady yeye hukueleza tu ukweli no matter what will happen.