Vitu gani mwanamme/mwanamke asimwambe mk/me/mpenzi wake?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
Je mwanamme au mwanamke anapaswa kumwambia mpenzi wake kila kitu au kuna mipaka ya kuangalia? kwamba kuna baadhi ya vitu ni "no no"? Je kumwambia mwenzako kila kitu ni kitu kizuri au unaweza kujikuta unajichongea au unajiweka mahali pa kuulizwa maswali mengine mengi.
 
Mfano msichana ilishawai kufanya abortion huko nyuma
Unaweza kusema hili kweli kwa mpenzi/mume wako?
Pls msinihusishe na hilo ni maoni tu wakuu
 
Bora umwambie akuulize maswali yote at the begining kuliko kuja kujua baadae akuulize maswali including kwanini ulinificha? Binafsi hakuna swali nilislolipenda kama "kwanini hukuniambia?" "kwanini ulinificha?"
 
kwakweli inategemea na mapenzi yenu yalivyo........
1.kuna mapenzi ,zaidi ya kuwa wapenzi mnakuwa marafiki sana na mnaelewana sana inafikia mahali you all confess to your past experience kiasi kwamba some you take them as jokes.
2.kuna mapenzi mtu anaona kuwa sasa your looking for the future na kila mmoja analake kifuani kwahiyo mtu anaona atoe tu kwa kadri atakavyoona yeye inafaa.
3.kuna wale ni wadadisi sana mko kwenye uhusiano unaulizwa maswali mengi sana ambayo inabidi uyajibu kwa kadri unavyoona inafaa kulingana na uelewa wa huyo mtu(ila ubaya wake uulizwe halafu udanganye siku aje kujua ukweli ,patachimbika sana)
4.kuna wale ambao si waelewaji kulingana na ulivyomsoma ,huwezi kumwambia hata hiyo kidogo.
5.kuna wale ambao ni too much open guy/lady yeye hukueleza tu ukweli no matter what will happen.
 
Navyo fahamu mimi watu wanachunguzana kabla ya kuoana sio baada ya kuona :violin:
 
Usimwmbie mumeo/mkeo/mpenzio juu ya mahusiano yako ya awali, hasa kumsifia X- wako.
Kwa mwananke usimwambie mumeo ofa unazopewa ofisini mf.lunch/chai(katkika mazingira ya kupeana kampani kwenda kula chakula au chai)

Usimwambie mumeo jinsi unavyotongozwa ofisini aidha na boss au staff wengine.
Usimwambie mumeo jinsi unavyosifiwa na wanaume wengine kwa uzuri/mwonekano n.k
 
Huwez kumwambia kila kitu..khaaa, privacy is needed sometimes..Et umwambie nliwahi kubakwa,.au mama yangu mchawi..au mama yako alishawahi kutembea na baba yangu.. Au rafik yako alinitongozaga n'kamkubalia...lool umwambie vyote umezaliwa nae..aaah wapi..Mapenzi yapo ila c kihvyo..utaonekana mwehu..utadhalilika!
 
Mbaya ni pale mjomba wake huyo mumeo ndio dokta aliekuchoropoa mimba pale manzese lazima amng'ate sikio...
Hujambo kaka
Haijalishi ni nani aliichoropoa bwana mi naona haya mambomtu ayaache tu
Kwani lazima kuelezana kila kitu bwana
 
Huwez kumwambia kila kitu..khaaa, privacy is needed sometimes..Et umwambie nliwahi kubakwa,.au mama yangu mchawi..au mama yako alishawahi kutembea na baba yangu.. Au rafik yako alinitongozaga n'kamkubalia...lool umwambie vyote umezaliwa nae..aaah wapi..Mapenzi yapo ila c kihvyo..utaonekana mwehu..utadhalilika!

Kwa nini kumwambia "nliwahi kubakwa" iwe ni no no no?
 
Nilipokutana na Wife nilimueleza kuhusu wadada wote niliowapitia. walikuwa saba. nikamueleza na nilioshia kunyonya tu maziwa. walikuwa wanne. sasa si unajua Bongo ukitangaza harusi ni sawa na kutangaza unawania ubunge lazima ya kale yatafumuliwa tu! basi ilikuwa kila wakimfuata wife anawajibu NAMJUA!
Kuna faida na hasara ya kutoa taarifa zako zote. Faida ni kujenga uhusiano wa kuaminiana. hasara yake ni kwamba habari za nyuma zinaweza kutumika kukusimangia. Sasa ukiolewa na mwenzi JUHA imekula kwako!
 
kwakweli inategemea na mapenzi yenu yalivyo........
1.kuna mapenzi ,zaidi ya kuwa wapenzi mnakuwa marafiki sana na mnaelewana sana inafikia mahali you all confess to your past experience kiasi kwamba some you take them as jokes.
2.kuna mapenzi mtu anaona kuwa sasa your looking for the future na kila mmoja analake kifuani kwahiyo mtu anaona atoe tu kwa kadri atakavyoona yeye inafaa.
3.kuna wale ni wadadisi sana mko kwenye uhusiano unaulizwa maswali mengi sana ambayo inabidi uyajibu kwa kadri unavyoona inafaa kulingana na uelewa wa huyo mtu(ila ubaya wake uulizwe halafu udanganye siku aje kujua ukweli ,patachimbika sana)
4.kuna wale ambao si waelewaji kulingana na ulivyomsoma ,huwezi kumwambia hata hiyo kidogo.
5.kuna wale ambao ni too much open guy/lady yeye hukueleza tu ukweli no matter what will happen.

Super analysis............big up
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom