Ingekuwa vizuri ungeambatanisha na picha za hivyo vitu.Kwa mtu yoyote anaehitaji kununua vitu
1. Kitanda 5/6
2.godolo 5/6
3.vyombo vya ndani
4.gesi
5.shelf ya kuwekea nguo
Nipo iringa semtema
Bei yake tafadhali kwa jumla
Wa TZ kwenye biashara za online wengi wetu hatujui kabisa ,yaani unatangaza unauza vitu halafu hakuna hata picha? Really? Like seriously??Kwa mtu yoyote anaehitaji kununua vitu
1. Kitanda 5/6
2.godolo 5/6
3.vyombo vya ndani
4.gesi
5.shelf ya kuwekea nguo
Nipo iringa semtema
Macho yangu ama kukurupuka ku-comment?? Yaani we acha tuWa TZ kwenye biashara za online wengi wetu hatujui kabisa ,yaani unatangaza unauza vitu halafu hakuna hata picha? Really? Like seriously??
Ameamua kurudi mjini!!! Huyu ni kati ya wale mzee aliosema hadi june ya mwaka ule watakua wamekimbia mijini,sasa mzee ameondoka ndiyo jamaa kaamua kurudi tena mjini kupanga upya mashambuliziTatizo Nini Kwanza
Sijakuelewa mkuu ,nani aliyekurupuka? Uzi uliwekwa bila picha mpaka watu wakawa wanauliza picha mbona hakuna,baadae ame update kwa kuweka picha......Swali langu nani kakurupuka kucomment? Post ya kwanza ndio inatakiwa iwe na picha na mimi nimsoma post ya kwanza ambayo haina picha at the time na quote.Macho yangu ama kukurupuka ku-comment?? Yaani we acha tu