Vitu ambavyo wabongo wanapenda mno

Kutopenda kuona mwenzake anafanikiwa na kufurahia mtu anapopatwa na matatizo.
 
18:Hawajui wanataka nini.
19:Kuwaamini watu wanaoisema vbaya serikali hata kama wanachokiongea hakiwasaidii kitu (eg.Mange)
 
hi
yo ya tatu ndo zangu nauza mambo online sibandiki bey hahaha ukiingia kichwa kichwa inakula upande wako
 
Kufatilia mambo yasiyo kuhusu kama mtoa mada alivyo fanya
kujifanya yeye ni smart kuliko wengine nakujibagua kama mtoa mada alivyo fanya\
 
Nimeipenda No.14!
Nyongeza:-
15.Kupenda kuongelea na kusifia watu waliofanikiwa katika maisha huku ya kwao yakiwa yamewashinda.
16.Ubishi wa kijinga na kujifanya
wanajua hata yale wasiyoyajua.
17.Kupenda kulalamikia ndugu au watu wengine kuwa hawawasaidii,huku wenyewe wakiwa hawafanyi juhudi yeyote katika kuboresha maisha yao.
 
15.kuomba omba ela kama hana nguvu ya kutafuta ela zake au kukopa alafu kulipa ugomvi.
 
Kutokufanya kazi lakini anaingiza pesa kuliko mtu alieajiriwa
Kupenda kufoji vyeti ili kupata kazi serekalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…