Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,043
Ni kweli,,watu wanao muabudu mungu wanapungua taratibu kadiri siku zinavyokwenda ila bado ni suala gumu kuondoa imani hii katika mioyo ya waamini wengi kwa sasa..!Kadri mapinduzi ya Sayansi yanavyoendelea, taratibu watu wataacha kuamini. Japo itachukua muda mrefu