sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 630
- 527
Umeandika kitu kikubwa maishani mwake?hivi katika uzi huu unaweza kulisaidia vipi taifa lako. Eti unajinasibu kuwa una uwezo mkubwa wa kufikiri. Hivi aliyegundua hicho kifa unachotumia kuleta upuuzi huu humu atakuwa na uwezo wa kiasi gani? Umefanya jambo gani kuu mtaani kwako la ajabu?Mkuu nimeandika kitu Kikubwa sana maishani mwako. Ila hujataka kukielewa kwakua hakijathibitishwa na umoja wa mataifa ya ulaya. Think twice