Sasa sisi tusiowatibua mapenzi yetu tuyapeleke wapi kama mmetuunganisha na wanaowatibua.Sio ubabe Daby
Tatizo lenu mnatutibua sana sasahivi tumeshashtuka hayo mapenzi tuwaachie wahindi tuu kwa bongo huo ni upuuzi.
Hahaha usishangae hadi chumbani akawa hataki kuandaliwa... DuhNinja ney inaonekana mbabe saana
Embu usizungumzie hizo habari za mautamu banah, sasa tusipoandaana si tutabakana?Hahaha usishangae hadi chumbani akawa hataki kuandaliwa... Duh
Lazima uwe na fikra zaidi ya moja.Kumbe mind yako imejikita kwenye kuachana zaidi, kuliko kufikiria jinsi ya kupasua mabonde na milima na kuyafikisha mapenzi yenu to the eternal...
Why uwe na mawazo ya namna hiyo? Umejeruhiwa?
Alafu kuna kitu nimegundua(nitakwambia baadae)Embu usizungumzie hizo habari za mautamu banah, sasa tusipoandaana si tutabakana?
Swala ni kwamba sitaki kushikwa mkono barabarani
Do you believe in soulmate?Lazima uwe na fikra zaidi ya moja.
Ukiwa na fikra moja tuu maana yake ukitendwa lazma ufe, sasa ya nini kukatisha uhai wako wakati maisha matamu.
Akinionyesha tabasamu lake hapo mimi naridhika balaahAlafu kuna kitu nimegundua(nitakwambia baadae)
ila kwasasa nijibu swali hili,
kipi unachofurahia pale mpenzi wako anapokufanyia hadharani?
Ouh! superwomanAkinionyesha tabasamu lake hapo mimi naridhika balaah
Milango imefungwa [emoji51] [emoji51][emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji124]
Hahaaaa!! Unamnunulia cret zima alafu unaondoka shenzi kabisa!!
Hana adabuHahaaaa!! Unamnunulia cret zima alafu unaondoka shenzi kabisa!!
Kbisa.Hana adabu
Mkuu we ni ke au me?1:Umelala home wengine sijui wamekosa usingizi wanataka muamke wote hapa ndipo hutamani niishi nyumba ya peke yangu, sipendi kuamshwa au kuongeleshwa ongeleshwa nikiwa nimelala.
2:Kupigiwa simu kuanzia saa 4, 5, 6, usiku, ulikuwa wapi kuanzia asubuhi saa 4 mpaka saa 1 jioni, dawa huwa sipokei labda iwe ya mama au mchuchu ninaemkubali, watu wengine hukurupuka aisee huwa nawatukana na kuwablock.
3: Sipendi mtu ashike simu yangu, kushikiana shikiana vitu bila kuniomba sipendi.
4:Kuleta mgeni home halafu nimpikie mimi, mgeni wako shughulika nae uliemleta.
5:Tumekutana tu sehemu unataka namba za simu hata hujanifurahisha kwa chochote, sipendi.
6:Watu wanaonuka vikwapa, mdomo, jasho siwapendi aisee hua nakaa nao mbali na mimi, wachafu wachafu, sitaki kabisa, unakuta mdada kavaa vizuri anang'aa lakini kikwapa kinatema wakati deodorant 5000 tu shenzi kabisa.
7:Watu ambao hawanitafuti halafu niwatafute mimi tu nishafuta kabisa.
8:Wazee ambao mnapenda vibinti siwapendi aisee maana mna presha, kisukari mtatufia vyumbani kaeni mbali mkae na wake zenu sisi bado damu inachemka moto wetu sio wa nchi hii, mtuache tukimbizane na rika letu.
Vingine ongezea nawe ambavyo hupendi.
sikupendi. kuanzia leoHapendi ndio we mbona hunipendi
Me nakutafuta unanichunia[emoji57] [emoji57]
aki pm gea wewe kiroho kinakuuma nini? kaoneImenigusa pia nampango wa kukudelete mwezi sasa[emoji35] [emoji35]