Vitu ambavyo hupaswi kufanya kabla ya kulala

Vitu ambavyo hupaswi kufanya kabla ya kulala

Nongezea tu
Usilale na kyupi yakupasa uvue ili kupate hewa
Usivae sidiria (Oooophs!! ....Namaanisha shika maziwa za wanawake)
Usilale na mto kiepuka shingo yako kuuma ukiamka asubuhi
Endeleeni mengine

Sass we umeongeza nini?? Pant ndio kyupi, bra ndio sidiria!
 
Back
Top Bottom