Vitu adimu kutoka Afrika.

Watoto wahajakushwa hao! MMh
 
Halafu kuna wanafiki mtu akivaa sketi fupui wanatokwa povu oooh sio utamaduni wa mwafrika......afrika mambo yalikuwa nje nje na wanaume wa shoka wanavumilia tu.
Sana, tena walikuwa wanaishi kwa amani tu,kuliko sasa.
 
Halafu kuna wanafiki mtu akivaa sketi fupui wanatokwa povu oooh sio utamaduni wa mwafrika......afrika mambo yalikuwa nje nje na wanaume wa shoka wanavumilia tu.
Elewa kuwa hawavai hivyo kila siku bali siku hiyo kuna sherehe za kitamaduni. Ni sawa na hapa kwetu mtu akivaa kichupi beach au club haina shida. Kila kitu kina mahali na wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…