maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,169
- 1,533
Za asubuhi wanajamii,
Kwa miaka michache niliyoishi duniani nimegundua kuna vitu ambavyo watu wamevipa thamani kubwa kuliko inavyostahili. Baadhi ya hivyo vitu ni,
1. Mapenzi, jamii imetia mkazo sana kwenye hili hasa vijana. Hili ni chanjo kimojawapo cha kuzorotesha uchumi na kupoteza muda wa uzalishaji bila sababu yoyote. Jamii nyingi ambazo hazina discipline kwenye kushughulikia suala la mapenzi zimeharibika Kwa magonjwa, umaskini nk. Lakini mapenzi yanavyopewa kipaumbele hata Kwa vijana wasiooa au kuolewa ambao hawapaswi kuyafanya utashangaa.
2. Dini. Hii sitaizungumza sana Kwa sababu ambazo mnazijua na msizozijua
3. Fedha. Watu wanakwambia pesa ni Kila kitu. Tunatoa mkazo kwenye kuzitafuta mpaka tunashindwa kuishi
4. Pombe. Huo umuhimu wa pombe unaosisitizwa mpaka Uzi wake jamii forum unakuwa na wachangiaji zaidi ya laki moja haupo. Pamoja na kutokuwa na umuhimu wowote pombe ni chanzo Cha kuharibika Kwa familia nyingi Dana hapa nchini.
Tafadhali ongezea vitu vingine kwenye jamii yetu ya kitanzania ambavyo vipo over-rated unnecessarily ili tupate kujifunza na kuepuka madhara yake.
Karibuni