super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 540
Vitu 10 Ambavyo Wanawake
Wamewazidi Wanaume...!

1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na
Wakipenda Hupenda Kweli.
4.Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa
Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara
Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha
Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7.Wana Uwezo Wa Kuishi Na
Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala
Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka
Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-
Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Hawapendi pesa

*Ndugu zangu hiyo
ya 10 imekosewa tuMungu Ni Mwema