proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,252
Yeye hakuumba kitu anachokichukiaMkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine
Yeye hakuumba kitu anachokichukiaMkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine
Ila mwanadam kwa masirahi yake akaanza kuingiza habari ,oooh hiki ni haramu,ooh keusi kekundu uongo mtupu wa wanadamuYeye hakuumba kitu anachokichukia
Mwehu huyo wakati hapo moshi nguruwe mkubwa kabisa wa kilo 120 ni laki 4Ye kasema mia 4 kimoja.
Ila mwanadam kwa masirahi yake akaanza kuingiza habari ,oooh hiki ni haramu,ooh keusi kekundu uongo mtupu wa wanadamu
The emailYawezekana wanafika kilo mia mbili...ndg Kwa Bei hyo si mbayaaa. Kuna kaka Angu ye vinguruwe hivyo vidogo anauza Laki mbili hadi tatu inategemea na ukubwa wakeNimempigia simu ili tuongee hiyo bei ya laki 4 anipunguzie ila hajapokea
Daaah haya majibuInamaana huyo mungu aliumba kiumbe ambacho ni chukizo mbele zake ni mungu wa Kijiji gani hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini imekuchukua muda sana kujibu haya80k mkuu karibu mkuu
wakati mwingine jaribu kuweka mawasiliano yako na mambo yote ya msingi utapoteza wateja kwa mwendo huoSikuwa online mkuu
Biashara halali kabisa hiyoooMkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine
Bwanake.Nguruwe mbona ni biashara fuleshi mkuu, na wapi MUNGU alisema inamchukiza?
Safi sana, ukifuga wakikua unapata Kitimoto kizuri sanaTunauza vitoto vya nguruwe vya miez miwili
Mahali n Arusha Tengeru
View attachment 2598480View attachment 2598482