bahati yako natumia TECNO wewe...ningekugongea bonge la LIKE...hata ivyo kesho ntaenda internet kef kwa ajili yako!...jukwaa la vichaa muhimu!
kabandike bango kuubwaa watu wote waone😛layball:she is my girlfriend...mambo yakiwa fresh natangaza ndoa....msomali + mpare = kitu cha ukweli
Ili avitavune vitoto vya kibongo zaidi.[/QUOTE
ofcourse though anasema huyo mpare ndo his gal!
Kumbe nje kwenyewe ni Nairobi, pambafu..., Ali shabaababi mkubwa wewe...!
Hata nyie wasomali madada zenu watamu kweli.
Sun wu, kwenye post yangu, nilipoweka maneno haya,Duh ama kweli elimu haina mwisho...!!!! Although nadhani tunahitaji data zaidi kwenye hii issue alafu huoni kwamba msemo wa (beauty is in the eyes of a beer holder) unakinzana kidogo na maneno yako, sababu kama mimi napenda wasichana warefu weupe wembaba I can argue kwamba Rwanda ndio kwenyewe ila wanaopenda wafupi wanene na waliojazia mahali fulani wanaweza wakakwambia vinginevyo ?
Kama unachopenda ni kumiliki good stuff then its ok you just choose your love and love your choice!. The rest is just the atitude of mind wengine kile kipande cha juu cha mua ndio asali yake kama lilivyo ganda la mua la jana, chungu aona kivuno!.
Kumbuka na dada yako hivyo hivyo hata kama wasomaliwanasifika kwa uchafu na roho mbaya. Huna haja ya kuandika mambo ya kipuuzihapa. Au ni wale wasomali wanaojiita waarabu wakati ni wamakonde wa kawaida.Kabla ya kuwalenga dada za wenzio kumbuka una dada hata mama. Hivi utajisikiajeukiambiwa mama yako mtamu? Tumia akili vizuri.
Mwanaume wa kisomali:nono::nono::nono:
We msomali? Kuna umuhimu wowote wa kutaja race? Then unakuja unatudhalilisha wanawake hapa? Umesoma kweli wewe? Nina mashaka na umri wako. Labla ni dogo unayebalehe. Acha kutudhalilisha wadada. Kama huyo mlikubaliana ndo umtangazie? Jitu zima ovyo!!
dah nchi ipo hatarini, km alshababu mmpo mpaka huko tigo inabidi mwema ss ajulishwe