Vitimbwi ndani ya CCM kwa sababu mama ni Mzanzibar?

Minyukano ndani ya CCM ni mchezo wa kuigiza ili kumpoteza mama asifanikiwe. Wabara wanaigiza ili kumpoteza mama

Huu mnyukano unadhihirisha wabara tunavyotaka kumyumbisha Mama wa Zanzibar

Hapa mama ameishaelewa haya makundi yanayonyukana ndani ya ccm yana taswira ya kumkwamisha mbio za uchaguzi 2025

Hapa mama uelewe kuwa 2025 una kazi ngumu sana kufanya kampeni bara

Wabara wanapenda kujimwambafai na wanachokifanya ni kutaka kukuweka pembeni

Hatujawahi kusikia ccm Zanzibar wanarushiana maneno kisa utawala wa bara

Lakini Ccm Bara wana siri nzito dhidi yako

Time will tell !

Dawa katiba mpya# Serikali 3
 
Back
Top Bottom