Viti maalumu Chadema

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Wapendwa wana JF naomba mwenye list ya wanaowania kuingia bungeni kwa tiketi ya Chadema kama kuna mwenye nayo atupenyezee hapa tuijadili.
 
Wapendwa wana JF naomba mwenye list ya wanaowania kuingia bungeni kwa tiketi ya Chadema kama kuna mwenye nayo atupenyezee hapa tuijadili.

1: Sokomoko
2: Malaria Sugu
3: JeyKeywaUkweli
4:
5

Endelea kuorodhesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom