Viti maalum- CHADEMA

Viti maalum- CHADEMA

lepanetta

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
13
Reaction score
1
Jamani hii ni haki? CHADEMA ina kiti zaidi ya kimoja katika mkoa wa Shinyanga lakini haina mbunge wa viti maalum kutoka katika mkoa huo ilhali Mkoa wa Singida una Mbunge wa viti maalum wakati ina mbunge mmoja tu wa jimbo tena mbunge huyo ni kaka wa mbunge wa viti maalum> Nisaidieni hili!
 
CHAMA CDM kilipata kula nyingi za urais mkoa wa shinyanga pia wapo wabunge kutoka mkoa huo
 
Rudi!
Kamwambie aliyekutuma "wamekataa kunifungulia"
Labda anaweza kukutuma jingine.
Usife moyo, Mdanganyika wewe!
Kumbuka usemi usemao: "Mwenda bure, sio mkaa bure, huenda ........"
 
Ndugu zangu wa Chama cha domokrasia na Maendenyuma aka Chama cha Mazishi jaribuni kujibu hoja acheni jazba na hasira!
 
Ndugu zangu wa Chama cha domokrasia na Maendenyuma aka Chama cha Mazishi jaribuni kujibu hoja acheni jazba na hasira!

Hapa zinajibiwa hoja sio upupu! Siku nyingine fikiri kwanza halafu leta hoja.
 
Hivi hujarudi tu Mirembe hospital toka utoroke? Mura ujue sasa tutakupigkha!!
 
Ndugu zangu wa Chama cha domokrasia na Maendenyuma aka Chama cha Mazishi jaribuni kujibu hoja acheni jazba na hasira!

Haya ndio matokeo ya PUI (Posting Under Influence ). Unatumia kilevi gani?
 
Hana jipya huyu jamaa labda anatafuta jukwaa lakutokea nyuzi kama hizi si zakuchangia chochote never argue with a fool.
 
Hana jipya huyu jamaa labda anatafuta jukwaa lakutokea nyuzi kama hizi si zakuchangia chochote never argue with a fool. Maana mwehu hukufanya uonejane mwendawazimu.
 
Hapa zinajibiwa hoja sio upupu! Siku nyingine fikiri kwanza halafu leta hoja.

Tabia za watu wenye symptoms au element za ki CCM utazijua tu.

1.wanapenda kuongea maneno bila kupima wanachoongea.
2.Wavivu wa kusoma na kufanya utafiti wa mambo.
3.wepesi wa kutoa taarifa ambazo hazina uhalali.

sasa hapa ulitaka ajibiwe nini?maana taarifa yake haina ukweli inaonyesha hakuifanyia utafiti.

Naomba nimpe homework Atafute Mbunge wa chadema anayeitwa Recho Mashishanga ametokea wapi?Na maombi yake yamepitia wapi?
halafu tutamjibu vema.
 
josephine nimeipenda ujumbe wako hongera aliyekuja na hii hoja anaonesha ni jinsi gani alivyokurupuka ila nashukuru umemjibu vizuri thanx i appreciate
 
wana Jf mada iliyopo sasa sio viti maalumu mada kuhusu kuhojiwa mapacha watatu na pius msekwa..mafisadi wanahojiwa na fisadi
 
Back
Top Bottom