Viti 200 toka China vinauzwa..

Viti 200 toka China vinauzwa..

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,994
Reaction score
5,234
Viti vipya kabisa na vinafaa kwa ajili sherehe mbalimbali na tafrija kama vile harusi,mahafali,mikutano,mahotelini n.k..
Kwa mawasiliano zaidi ..0712306686,0787856436,0683999366...
Bei maelewano,

China_Cheap_wedding_fabric_decoration_chair_in.jpg_350x350.jpg



Madalali hawatakiwi.....
 
...dah mzigo wa kichina ?ngoja waje wadau...
 
ekzaktli ndio maana nimemwambia atuwekee bei zake ni zipi, na ikiwa vizuri akaweka bei yake kwa jumla ni ngapi na kama mtu akitaka viwili vitatu yani kwa rejareja bei ni ngapi,
kyanaKyoMuhaya avatar yako inasisimua😎



Ningependa zaidi kama atapatikana mteja wa kuchukua vyote kwa pamoja kaka na kama itatokea chini ya hapo basi minimum ni atakayeweza kuchukua viti 50 na bei ya kuanzia ni @65,000/= japo tutaelewana kutokana na mahitaji na hali ya mteja........
Na kwa anayehitaji ni vyema akatumia hizo namba hapo juu....
 
Back
Top Bottom