Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,454
Mnakaa pamoja na kuelewana ni jinsi gani wata finance biashara yako na kisha mtagwana faida ya biashara kwa kila mwezi kwa kipindi maalumu. Percentage za kugawana mtakubaliana pia ukipata hasara katika mwezi husika hamtagawana kwakuwa hakuna faida itakuwa imepatikana. Kwa lugha nyingine buashara inakuwa ni partneship kwa kipindi maalum kisha biashara itakuwa yako peke yako.na je lazima uweke dhamana? maana ukipata hasara wao wana recover vipi hasara yao? Mfano nahitaji mtaji wa operation kwa miezi sita. Ina maana watawalia wafanya kazi wangu kwa miezi na kupilipa bili zote kwa miezi sita? Hao huu mkupo ni kwenye rawa materials tu wao kukununulia?
Sio kweli, ukinunuliwa bidhaa, biashara inakuwa ni ya ubia (partneship) kwa muda maalumu ambao mtakuwa mnagawana faida hadi hapo aliekukopesha atakapo recover mtaji aliowekeza kwenye biashara na kupata faida fulani ndio anakuachia biashara inakuwa yako peke yako. Ni biashara ya kugawana faida, usipopata faida hakuna cha kugawana. Ila kumbuka mbia wa biashara ana haki ya kukagua hesabu zote za biashara kwa maana ni yenu wote hadi hapo ubia utakapoisha.Mkuu kwa tafsiri yangu ya bila riba ni kwamba ukinunuliwa mali zenye thamani ya 15m kwa ajili ya biashara.Urudishe 15m na sio zaidi.
Mkuu, kwa uelewa wako hivi kwenye bank za riba ukipata hasara hudaiwi marejesho?? Ukijibu hilo nadhanj utaanza kuelewa tofauti ya riba na faidaUmejaribu kueleza kwa urefu kadri ulivyoweza na mimi nashukuru kwa ufafanuzi wako,lakini kwangu mimi tafsiri ni moja tu kwamba unataka kuanzisha au kuendeleza biashara yako lakini unataka usaidizi sasa haijalishi unapewa pesa au bidhaa au kitendea kazi lakini ukirudisha kuwe na ziada kidogo ambayo mnaweza kuiita jina lolote iwe riba,faida au vyovyote kadiri mtakavyokubaliana lakini kikubwa na ukweli ulio dhahiri hicho ulichopewa(iwe pesa au bidhaa) umekopeshwa.
kwenye suala la mikopo ya ujenzi pana utata...Kuna mtu anasema kwamba aliwapelekea invoice ya m 10 kwa hiyo wakamnunulia vifaa kwa mkopo wa milioni 18. Hapa kidogo kuna utata ukisema hii ni faida. Nilitegemea ingeitwa faida kama ungesema tu nini unataka kisha wao wanakuletea na kukupa invoice ya milioni 18. Lakini kama invoice naleta mimi haiwezi kuwa faida tena inakuwa riba...Hebu fafanunua kwenye hili.Mnakaa pamoja na kuelewana ni jinsi gani wata finance biashara yako na kisha mtagwana faida ya biashara kwa kila mwezi kwa kipindi maalumu. Percentage za kugawana mtakubaliana pia ukipata hasara katika mwezi husika hamtagawana kwakuwa hakuna faida itakuwa imepatikana. Kwa lugha nyingine buashara inakuwa ni partneship kwa kipindi maalum kisha biashara itakuwa yako peke yako.
Kimsingi wao wataangalia kama biashara yako inafaida, kama haina faida hawatakuwezesha kwasababu hata wewe huwezi ingia ubia kwenye biashara isiyo na faida.
Basi sawa mkuu.Acha kuzungusha maneno,kwani umeambiwa kwenye benki za kawaida utalipa deni maisha hata huko mkimalizana wanakuachia biashara yako unaendelea mwenyewe,hakuna benki katika dunia hii wakupe mtaji wa biashara iwe kwa pesa taslim au kitendea kazi halafu uwaambie umepata hasara wakuachie pesa zao kirahisirahisi tu labda mambo hayo sio Tanzania hii iliojaa watu dhulmati na matapeli wa kila aina.
Nimeipenda Sana.Ninahisi kuwa kuna tofauti na namna ulivyoelezea, mfumo wa "Islamic Finance" nilivyouelewa ni kuwa, tuseme unataka kukopa million kumi kwa ajili ya biashara.
Kwanza itabidi hiyo biashara itazamwe mwenendo wake, unaweza kuleta faida au hapana, upo kihalali na unafata sheria za nchi au hapana, ni biashara ambayo ipo tayari na unaongeza unataka kuongeza mtaji au ni mpya na vigezo vingine ambavyo wataalamu wa biashara watavitazama kiundani, kuna "proper study" au hapana ya hiyo biashara. Ukikidhi vigezo vyote basi "financiers" wanaingia ubia na wewe. Na pesa watakazotoa ni mtaji wao na wako, mtaji wao utakuwa unawaingizia faida kutokana na asilimia ya faida kama taji wao ulivyo, na wewe unaingiza faida kwa mtaji uliopatiwa. Katika faida yako utakuwa unarudisha mtaji uliopewa kidogo kidogo kwa kadiri mlivyokubaliana mpaka urudishe mtaji kama ulivyopewa, bila ya wewe kuongezea hata senti moja ya riba.
Utaona kuwa "financiers" wanapata faida kutokana na mtaji waliowekeza na hakuna riba waliopokea wala kutoa.
Halafu tofauti nyingine na "financiers" wa riba, ni muda wa mkopo unaotakiwa ulipe utapokwisha riba hupanda na kuendelea kupanda. Tofauti na "financiers" bila riba, huwa hakuna riba inayoongezeka.
Wenye ujuzi zaidi wanaweza kuweka sawa zaidi au kusahihisha tulipokosea.
Asante.
Acha kuzungusha maneno,kwani umeambiwa kwenye benki za kawaida utalipa deni maisha hata huko mkimalizana wanakuachia biashara yako unaendelea mwenyewe,hakuna benki katika dunia hii wakupe mtaji wa biashara iwe kwa pesa taslim au kitendea kazi halafu uwaambie umepata hasara wakuachie pesa zao kirahisirahisi tu labda mambo hayo sio Tanzania hii iliojaa watu dhulmati na matapeli wa kila aina.
kwenye suala la mikopo ya ujenzi pana utata...Kuna mtu anasema kwamba aliwapelekea invoice ya m 10 kwa hiyo wakamnunulia vifaa kwa mkopo wa milioni 18. Hapa kidogo kuna utata ukisema hii ni faida. Nilitegemea ingeitwa faida kama ungesema tu nini unataka kisha wao wanakuletea na kukupa invoice ya milioni 18. Lakini kama invoice naleta mimi haiwezi kuwa faida tena inakuwa riba...Hebu fafanunua kwenye hili.
Kuna "pilot projects" aina mbili tulianza kuzifanya na muitikio umekuwa mzuri sana, tukawaza kwanini tusiende mbele zaidi na tufikie kwenye "financing" bila riba.
Katika kuchimbua kutafuta namna nyepesi ya kuweza kupata "financing" sijaiona iliyo bora zaidi ya hii "islamic Banking" au to be precise "Islamic Finance".
Kutazama hapa Tanzania nimeona kuwa hakuna "Islamic Finance" nje ya bank. Nimeona kuwa Tanzania kuna biashara kubwa sana imeibuka ya kukopa na kulipa (officially na unofficially) nikaona kuna fursa kubwa sana ikiwa tu tutakuja na mfumo wa kukopa/kukopesha/kuwekeza kwa aina ya "islamic Finance" kwa faida ya wengi.
Inawezekana, na ndio nimeleta huu mjadala hapa ili tubadilishane mawazo. Mawazo tunayobadilishana hapa yanaweza kuwa na chachu za kutazama lipi lifanyike lipi lisifanyike.
Hapo mnapogawana faida ndio riba ileile. Na hawawezi kukuacha bila kumazana na wewe ktk faida. Tumsifu Yesu KristoYale yale vipi, tufafanulie ndugu yangu, tupo katika kuelimishana kwa sababu tunataka hivi karibuni sana kuanzisha mradi tupate kufaidika na mfumo huu wa "Islamic Finance".
Hapo mnapogawana faida ndio riba ileile. Na hawawezi kukuacha bila kumazana na wewe ktk faida. Tumsifu Yesu Kristo
Naomba kujua kuhusu Islamic bank hasa NBC BANK,nikiwa na account ya islamic na nikitaka kuweka fixed account ili nipate faida jee inawezekana?utaratibu wao upoje?
Mkuu sina uhakika na hilo, ila bado kuna tofauti kati ya riba na faida, hapo hiyo 18 ni fixed hata ukizidisha muda uliotakiwa kumaliza , lkn riba huwa haipo fixed, ikichelewa kurejeshwa ndani ya muda inaendelea kudaiwa kwenye kiasi kilichobaki na wengine wanachaji kwenye principal, that means deni linaongezeka na muda.kwenye suala la mikopo ya ujenzi pana utata...Kuna mtu anasema kwamba aliwapelekea invoice ya m 10 kwa hiyo wakamnunulia vifaa kwa mkopo wa milioni 18. Hapa kidogo kuna utata ukisema hii ni faida. Nilitegemea ingeitwa faida kama ungesema tu nini unataka kisha wao wanakuletea na kukupa invoice ya milioni 18. Lakini kama invoice naleta mimi haiwezi kuwa faida tena inakuwa riba...Hebu fafanunua kwenye hili.
kuna mdau mmoja amessuggest approach moja nimeipenda zaidi hasa hiyo ya wao kujenga na kukuuzia au kununua kisha wakakuuzia hiyo ndo ina make sense zaidi kwenye upande wa faida.Mkuu sina uhakika na hilo, ila bado kuna tofauti kati ya riba na faida, hapo hiyo 18 ni fixed hata ukizidisha muda uliotakiwa kumaliza , lkn riba huwa haipo fixed, ikichelewa kurejeshwa ndani ya muda inaendelea kudaiwa kwenye kiasi kilichobaki na wengine wanachaji kwenye principal, that means deni linaongezeka na muda.
kuna mdau mmoja amessuggest approach moja nimeipenda zaidi hasa hiyo ya wao kujenga na kukuuzia au kununua kisha wakakuuzia hiyo ndo ina make sense zaidi kwenye upande wa faida.