Ndio nimeshakaribia hivi.Karibu sana tushirikiane kwa faida ya wengi.
Ndio nimeshakaribia hivi.
Asante kwa kunifahamishaUmeshajiunga na Vitendo SACCOS?
Maelezo zaidi whatsapp 0625249605
Nami nahitaji kujiungaWadau,
Tunawaomba wanataaluma walioainishwa chini hapa wajiunge na Vitendo SACCOS kwa faida ya wengi...
*Tangazo la Kujiunga VTS Training Forum*
VTS Training Forum inatangaza nafasi za kazi za kujitolea katika Kada mbali Mbali. Hii ni kutokana na uhitaji wa VTS kupata wataalam ambao tutasaidiana katika kutatua changamoto zinazotukabili katika ushirika wetu. Katika kufanikisha malengo yetu tunaomba wataalamu wenye taaluma zifuatazo watume majina yao. High involvement and commitment inahitajika ili tuweze kufikia malengo...
*Wenye taaluma zifuatazo mnakaribishwa sana:*
1.Kilimo
2.Apiculture/beekeeping
3. Setting up greenhouse
4. Mifugo
5. Food scientists
6.Hydroponic
7.Aquaculture
8.Aquaponics
9. Horticulture
10. Handicrafts
11. Basket weaving
12. Cooperative
13. Islamic finance
14. Project write up
15. Entrepreneurial skills
*_Na kwa yoyote ambaye taaluma yake haikutajwa asisite kuwasiliana nasi_*
*Tafadhali wasiliana na mratibu wa mafunzo Bi Asha kwa maelezo zaidi.*
*VTS...KWA MAENDELEO YETU*
Ahsanteni na karibuni sana. Kwa maelezo zaidi WhatsApp 0625249605
Ahsanteni.
Mwenyekiti.
Karibu sana.Nami nahitaji kujiunga
kila post naona namba za simu kwa kutumia whasap sasa wasio na hzo simu mnawasaidiajeWadau,
Tuna furaha kubwa kuwajulisha kuwa leo tumeanza rasmi kuvuna zao la Azolla ambalo sisi wa Vitendo SACCOS tunallita zao mkombozi.
Azolla ni 100% asilia na ni lishe ya mifugp yote, yenye ubora kuliko lishe yoyote ya mifugo ya nafaka au ya kiwandani, ni 100% chemical free.
Sasa utaalamu wa Azolla unapatikana Vitendo SACCOS na tumedhamiria kulifanyia kazi zao hili kuwa ni mkombozi wa wafugaji na wakulima. Azolla licha ya kuwa ni lishe ya mifugo pia ni mbolea nzuri sana ya asilia.
Azolla inapunguza gharama za lishe kwa mifugo, kwa uchache, kwa asilimia hamsini na zaidi ukilinganisha na lishe za viwandani na ni asilia 100%.
Kwa maelezo zaidi...
View attachment 522153
Faida kwa wengi.
Whatsapp 0625249605
Unaweza kutuma email kwa zainabtamimtz@gmail.comkila post naona namba za simu kwa kutumia whasap sasa wasio na hzo simu mnawasaidiaje
ok nakutumia email yangu utaiona leo yangu si isubili kesho....Unaweza kutuma email kwa zainabtamimtz@gmail.com
Kama "entity" unamaanisha ghost?Je naweza kujiunga kama entity
Simanishi ghost Namaanisha kama taasisi au kikundi mkuu
Hiyo SACCOS imeshasajiriwa tayari?Unaweza.