Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
Picha
HahaaMtalala makaburini mkizani kitanda cha zege
Utadhani umelala kaburini. Big Brother Salasala vyumba vyenu vizuri Ila vinaboa, vitanda Kama kaburihabarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
Pa ukweli sana paleUtadhani umelala kaburini. Big Brother Salasala vyumba vyenu vizuri Ila vinaboa, vitanda Kama kaburi