Vitamin music Belle 9ft joh makini

Vitamin music Belle 9ft joh makini

vidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
363
Reaction score
130
Hii nyimbo ni balaa sana kuna watu wanapewa sifa kama diamond na ally Kiba ila huyu jamaa ni kiboko balaa na anajua sana big up Belle 9
 
Hanaga zali aisee, nimetoka kuangalia video yake sahivi iko bomba kama wimbo
 
Video yke nzuri na Joh Karap poa sna. Belle9 anajua mziki sna. Big Up
 
Ila nashangaa why hapati promo kama hao wa juu waliotajwa sababu ni nini ila ni mkali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom