Vitambulisho vya taifa!

Vitambulisho vya taifa!

Nimeoa nchi jirani inakuaje hii nimpeleke au itasumbua
 
Mi nilipiga picha kilakitu.wenzangu wameishapata mm bado hakijaja hii inakaaje
 
Unastahili kukamatwa kabisa maana hivyo vyeti vyako vina utata na uraia wako unatakiwa kuchunguzwa.

Haaaa haaaa haaaa haaaa haaaa.

Kweli, wewe ni "konda wa bodaboda" hebu soma vizuri nilichoandika.

Asante.
 
Nimekosa kazi mahali kwasababu ya kupoteza kitambulisho - imeniumiza sana
Jambo la kufanya,

1.Nenda ofisi za NIDA ya wilaya uliyochukulia

2.Watakupa fomu ya kupoteza kitambulisho yenye namba ya kitambulisho chako

3.Ipeleke polisi wakuandikie POLISI LOSS REPORT kwa Tsh 500 tu

4.Then nenda CRDB ulipie Tsh 20,000 ya kukuchapishia kipya ( Kitambulisho cha kwanza tu ndo hutolewa bure ) - Ukienda NIDA siku ya kwanza chukua namba ya ACCOUNT

4. Ukishalipia bank rudi NIDA waoneshe loss report ya polisi na bank paying slip then wao watakuandikia risiti ya serikali - Then utaambiwa usubiri ukachukue baada ya mwezi kupita au watakupigia simu ( Wanasema havitengenezewi hapa nchini )

ALL THE BEST

Cc princess qute Cc Halichachi

Hadi vitambulisho havitengenezwi hapo nchini!?

Kwa mfano, hapo Rwanda tu kwa PK wanatengeneza hapo Kigali tena kitambulisho very sophisticated ambacho mtu hawezi kutengeneza fake!?

Eeeeeh, Hayati Mwl Nyerere , njoo utuokoe maana daaaah, tunateseka.

Kila kitu nje ya nchi!?
 
We hata jina lako co la nchi hii lazma wakuoji .. C amejiandika kama raia wa nchi jirani!? Aje na doc znazoonyesha alivyokuja tz na kama anasifa ya kupewa
Nimeoa nchi jirani inakuaje hii nimpeleke au itasumbua
 
Hadi vitambulisho havitengenezwi hapo nchini!?

Kwa mfano, hapo Rwanda tu kwa PK wanatengeneza hapo Kigali tena kitambulisho very sophisticated ambacho mtu hawezi kutengeneza fake!?

Eeeeeh, Hayati Mwl Nyerere , njoo utuokoe maana daaaah, tunateseka.

Kila kitu nje ya nchi!?
We jamaa acha kudanganya...
 
Hapana visivyo na signature havitumiki tena.. Hvyo vinabadilishwa na kupewa vyenye sahihi..
Sio kweli mzee,Id isiyo na signature na Ile yenye signature tofauti ni kuwa moja sahihi unaiona kwenye kadi nyingine haipo nje kwenye kadi,kwakuwa tayari zaidi ya wananchi milioni 2.5 WA zanzibar,Dar na baadhi ya mikoa kama lindi na Tanga walishapewa Id zisizo na signature utaratibu ambao Nida waliutangazw ni kuwa kwa new applicants watapewe vipya wale wazamani waendelee kutumia id zao labda kama kitapotea au utaona Kuna ulazima WA kutaka sign ndio utafanyiwa reprinting kwa gharama yako ya sh 20000 vinginevyo endelea kutumia id yako kwakuwa bado iko valid pia hata ukitaka chenye sign,hutosign popote watai retrieve toka kwenye mfumo kwakuwa ulisha saini wakati unajisajili.

Kama hujaridhika na ufahamu wangu jaribu kutembelea website ya www.Nida.go.tz au tembelea instagram page yao uliza swali lako utajibiwa au fika ofisi iliyo karibu nawe ambazo ziko wilaya zote Tanzania.

Sent from my LG-F320L using JamiiForums mobile app
 
Hadi vitambulisho havitengenezwi hapo nchini!?

Kwa mfano, hapo Rwanda tu kwa PK wanatengeneza hapo Kigali tena kitambulisho very sophisticated ambacho mtu hawezi kutengeneza fake!?

Eeeeeh, Hayati Mwl Nyerere , njoo utuokoe maana daaaah, tunateseka.

Kila kitu nje ya nchi!?
Kitambulisho cha taifa kina zalishwa Dar es salaam sema malighafi ( blank Card) ndio zinatoka nje.

Sent from my LG-F320L using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli mzee,Id isiyo na signature na Ile yenye signature tofauti ni kuwa moja sahihi unaiona kwenye kadi nyingine haipo nje kwenye kadi,kwakuwa tayari zaidi ya wananchi milioni 2.5 WA zanzibar,Dar na baadhi ya mikoa kama lindi na Tanga walishapewa Id zisizo na signature utaratibu ambao Nida waliutangazw ni kuwa kwa new applicants watapewe vipya wale wazamani waendelee kutumia id zao labda kama kitapotea au utaona Kuna ulazima WA kutaka sign ndio utafanyiwa reprinting kwa gharama yako ya sh 20000 vinginevyo endelea kutumia id yako kwakuwa bado iko valid pia hata ukitaka chenye sign,hutosign popote watai retrieve toka kwenye mfumo kwakuwa ulisha saini wakati unajisajili.

Kama hujaridhika na ufahamu wangu jaribu kutembelea website ya www.Nida.go.tz au tembelea instagram page yao uliza swali lako utajibiwa au fika ofisi iliyo karibu nawe ambazo ziko wilaya zote Tanzania.

Sent from my LG-F320L using JamiiForums mobile app
Haya
 
Back
Top Bottom