Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,844
UsijaliJust
So mtu ukieleza kitu ni unatafuta sifa au!?
UsijaliJust
So mtu ukieleza kitu ni unatafuta sifa au!?
Poa nduguUsijali
Kuna gharama za kulipia...Kwa wale ambao wameshapata vitambulisho ..kama mtu akipoteza kitambulisho anapaswa kuchukua hatua gani?
Hope wajua utaratibu ukipoteza id unavyokuaKwa wale ambao wameshapata vitambulisho ..kama mtu akipoteza kitambulisho anapaswa kuchukua hatua gani?
jaza fom namba sabaMimi, sijasoma, niliishia darasa la 4, wazazi sina, cheti cha kuzaliwa sina, cha shule sina, nafanyaje ili kupata haki yangu?
Fata taratibu kwa kama umepoteza. N mahali ulipozaliwa ni muhimu coz ni kwa faida yako mwenyeweMe naomba kuuliza vp kwa walioandikisha ID awamu iliopita na wakapata ila bahat mbaya kimepotea wanaruhusiwakuandikisha upya au ufate taratibuza kupoteza ID halafu pia unaruhusiwa kuandikisha ID mfano ni mzaliwa wa Morogoro ukaandikisha Dar es salaam?
Mfano ID nilichukulia Morogoro lkn nikaipoteza Dar es salaam naruhusika kuombea Dar es salaam?Fata taratibu kwa kama umepoteza. N mahali ulipozaliwa ni muhimu coz ni kwa faida yako mwenyewe
Nimekosa kazi mahali kwasababu ya kupoteza kitambulisho - imeniumiza sanaKwa wale ambao wameshapata vitambulisho ..kama mtu akipoteza kitambulisho anapaswa kuchukua hatua gani?
Vinavyotolewa kwa sasa vina SAHIHI ya MMILIKIHivi ile issue ya kitambulisho kuwa na saini imeishia wapi? Watu wa Dar tutaandikishwa tena au inakuwaje.
Na kwa sisi ambao tulipata vitambulisho vya taifa 2014, vile vilibyokosa signature tunafanyaje,tubaki navyo hivi hivi au tunatakiwa kuanza upya?Kwa wale ambao wameshapata vitambulisho ..kama mtu akipoteza kitambulisho anapaswa kuchukua hatua gani?
Unastahili kukamatwa kabisa maana hivyo vyeti vyako vina utata na uraia wako unatakiwa kuchunguzwa.Asante.
Sasa mfano, siku nikiombwa Cheti cha NIDA na vingine si itaonekana Niko na majina tofauti!?
Mfano, vyeti vya shule ni majina mawili tu Computer Billionaire
Sasa NIDA yakiwa matatu si wanaweza niweka kwenye vyeti feki au incomplete, mkuu!?
Sasa NIDA wanataka yawe hivi "Computer Cash Billioner"
Asante
Kama hakina sahihi toa copy peleka kwa nida then subir uitweVinavyotolewa kwa sasa vina SAHIHI ya MMILIKI
Ina maana ni kama ilivyokuwa wakati Yesu anazaliwa?Fata taratibu kwa kama umepoteza. N mahali ulipozaliwa ni muhimu coz ni kwa faida yako mwenyewe
Unatakiwa ubaki nacho mpaka Muda WA kuexpire utakapoisha,utakapokuja kurenew utapewa chenye signature,ila kama unaona ni lazima sana unahitaji chenye signature fanya utaratibu WA kuomba reprinting of the new national ID hapo utafuata utaratibu kama mtu aliepoteza id,tofauti yako we hautaenda polisi Bali utaenda Nida office iliyokaribu nawe utajieleza na so likely majibu yao watakupa bank account utaenda kulipia 20,000sh kama gharama ya reprinting.Kumbuka gharama hizi ni kwa raia WA tanzania kama we ni mgeni mkaazi au mkimbizi Kuna utaratibu tofauti poa.Na kwa sisi ambao tulipata vitambulisho vya taifa 2014, vile vilibyokosa signature tunafanyaje,tubaki navyo hivi hivi au tunatakiwa kuanza upya?
Hapana visivyo na signature havitumiki tena.. Hvyo vinabadilishwa na kupewa vyenye sahihi..Unatakiwa ubaki nacho mpaka Muda WA kuexpire utakapoisha,utakapokuja kurenew utapewa chenye signature,ila kama unaona ni lazima sana unahitaji chenye signature fanya utaratibu WA kuomba reprinting of the new national ID hapo utafuata utaratibu kama mtu aliepoteza id,tofauti yako we hautaenda polisi Bali utaenda Nida office iliyokaribu nawe utajieleza na so likely majibu yao watakupa bank account utaenda kulipia 20,000sh kama gharama ya reprinting.Kumbuka gharama hizi ni kwa raia WA tanzania kama we ni mgeni mkaazi au mkimbizi Kuna utaratibu tofauti poa.
Jiandikishe kwa maendeleo ya Taifa.