Vitambulisho vimeokotwa Gairo

Vitambulisho vimeokotwa Gairo

Mbona kama vile unanipelekesha,sifanyi lolote ulilonambia! Acha ibaki hivo hivo itapendeza zaidi[emoji23] [emoji23]
Nimekueleza lililo bora na la kiungwana! Its up to you to choose either bafoonery and wiseness!
 
Mkuu kuweka na picha ndio sahihi zaidi wala asikupe taabu huyo mzushi. Mtu amepoteza vitambulisho alafu wewe uandike jina bila kuonesha hivyo vitambulisho hiyo itakuwa habari au ujinga?
I know you belong to bafoonery club but still you can avoid using pooper for thinking!
 
Kwanza inawezekana wewe ndo umesaidia hili kulingana na mrejesho wa bujibuji hapo juu. Na kama jamaa ni mkewe atumie ustaarab wa kukuomba kama inawezekana uedit hizo picha si vinginevyo kwa sababu kwa maelezo yako umezikuta facebook hivyo hata kama zikiondolewa humu bado mwenye nia ovu aweza zipata facebook.
 
Back
Top Bottom