Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wanawake hasa mabinti kuwa na matumbo makubwa sana zaidi hata ya wanaume. Ni aina fulani ya vitambi mning'inio , vinavyoshuka chini hivi.
Tena wanawake wa mikoa ya kaskazini ndo wana matumbo makubwa sana mpaka yanaumiza usiku.
Ni ulaji au madawa dawa yao ?
Tena wanawake wa mikoa ya kaskazini ndo wana matumbo makubwa sana mpaka yanaumiza usiku.
Ni ulaji au madawa dawa yao ?