Vitambaa vya kike kutoka china

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana JF wenzangu Habari
Ni wakati wa kuungana mikono na kushirikiana ktk biashara sasa

Si kila kitu kitokacho China ni kibaya Ebu angalia mwenyewe hapo pichani

na kama nitakuletea kitambaa kibaya utanirudishia na sitachukuwa PESA yako

Leo nimekuja na biashara nzuri sana kwa ajili ya kina mama na watoto zao,si nyingine ila ni vitambaa maridadi kutoka China,vitambaa hivi ni imara ,havichuji na ni vizito pia na vinadumu kwa mda mrefu sana baada ya kukishona,

kwa mita moja nitakuuzia kwa TSH 7000,BEI NI KARIBU NA BURE

anae hitaji basi tuwasiliane kwa email engmtoleraibrahim@yahoo.com

hii ni kwa ajili ya kuweka oda,kwani vinapatikana kwa oda,simu ya mkononi ni +1815202425864


unaweza kujiridhisha kwa kuangalia picha hapo chini

attachment.php


attachment.php


attachment.php
 
hongera na kila la kheri kny biashara yako...ila picha umekosea kuweka....hazionekani.
 
hongera na kila la kheri kny biashara yako...ila picha umekosea kuweka....hazionekani.

attachment.php



najitaidi kuweka lakini naona inakuwa ngumu
 

Attachments

  • DSCN1762.JPG
    DSCN1762.JPG
    688.6 KB · Views: 634
  • DSCN1765.JPG
    DSCN1765.JPG
    658.2 KB · Views: 613
  • DSCN1766.JPG
    DSCN1766.JPG
    589.8 KB · Views: 144
Back
Top Bottom