Vitabu vya Willy Gamba (Elvis Musiba)

Katikati ya miaka ya 90 nilibahatika kusoma vitabu viwili kati ya hizo : njama na kufa na kupona, aisee ziko vizuri sana vinasisimua ni km vile unatizama move vile akilini mwako.
 
ila vin
apatikana amazon na wauzaji wengine wa bidhaa za mtandaoni
NINA OMBI aliyenavyo pdf ani PM kisha nimpe email yangu anitumie
haijalishi kwa sasa si rahisi kunizuia kuvisoma maana technolojia inatufanya tusiwe na shida
 
Nakumbuka nilianza kuiangalia 24 kwa mara ya kwanza ijumaa miaka nane iliyopita,sikutoka nje hadi juma tatu na usiku ilikuwa silali,nikipata usingizi au kwenda haja naweka pause,hii ilinitesa kuliko prison break.
Nakumbuka juhudi za kumtia mikononi HABIB MARUANI
 
Willy Gamba ameshazeeka jamani,anaishi Salasala Dar es salaam na watoto wake wapo Goba Dar es salaam.
Ni mtoto mmoja tu amerithi kazi ya baba yake ya ukachero nae ni namba moja pia kama alivyokuwa baba yake.
Pia Veronica Amadu,Mwadi na Sami wao wapo hai nao ni wastaafu.
 
ila vin
apatikana amazon na wauzaji wengine wa bidhaa za mtandaoni
NINA OMBI aliyenavyo pdf ani PM kisha nimpe email yangu anitumie
haijalishi kwa sasa si rahisi kunizuia kuvisoma maana technolojia inatufanya tusiwe na shida musiba wa ch. ten anaweza kuwa navyo
 

mkuu, baadhi nimeshavisoma, niseme tu vyote, hapa JF kuna uzi ulikuwepo wa riwaya za Hofu kama nakumbuka vizuri, na riwaya yake moja hivi. Polisi hawawezi kukukamata kama unacho kihalali mkuu, maana sijasikia kama vimepigwa marufuku na ni kwa sababu gani.
tukirudi kwa waaandishiw a siku hizi ndio kama hivyo wengi wamejikita kwenye uandishi soft wa mambo ya machombezo, hasa wa kina shigongo huko.......ni hatari sana kwa maendelea ya elimu
 
wewe unakula msuba hahahahaha hatari sana
 
Kuna issue ya HUJUMA,ni nani ameisoma?nimebahatika kukipata majuzi hapa inaonekana kimeandikwa baada ya riwaya kama Uchu....like kilikuwa cha mwisho mwisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitabu hivyo huwezi kuacha ukishaaanza,ni kama kuangalia siries za 24,Jack Bauer anakuweka macho hata wiki,hulali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…