Vitabu vya muongozo wa thamani za madini

Vitabu vya muongozo wa thamani za madini

Joined
Oct 25, 2023
Posts
4
Reaction score
2
Je, umekuwa ukifanya Biashara ya Madini ya Vito pasina faida au kutokuzitambua Thamani zake halisia ?

T-TanzaniteGram Blog ndio suluhisho la pekee. Nunua Vitabu vitakavyo kupatia mwongozo wa Thamani za Madini ya Vito aina zote kwa mwaka 2025.

WATAALAMU.

Thamani zilizo orodheshwa ndani mwa Vitabu hivi hazikutolewa vichwani bali kwa kutumia vipimo vya kitaalamu pekee, kisha kuhakikiwa na Wataalamu wa Gemology tofauti tofauti. Thamani zilizo orodheshwa ndani mwa Vitabu vyetu hazitofautiani na zile utakazo patiwa kutoka Office/Lab yeyote ile yenye kujihusisha na huduma za Gemology, ila tofauti yetu dhidi yao ni kutoa huduma kwa Bei nafuu zaidi ili kuwafikia wengi na kwa muda mfupi. Mfano; huduma za Valuations Gharama zake huanzia laki kwenda juu, lakini ukija kwetu tunakupatia kitabu chenye orodha ya Grade zote kwa Gharama ndogo mno lakini kwa ufanisi mkubwa.

BEI YA KILA KITABU.
Bei ya Kitabu ni Shilingi elfu 2, 500 tuu kwa kila kimoja, Kisha baada ya malipo utadownload kitabu chako ndani ya sekunde chache.

FAIDA ZA KUMILIKI HIVI VITABU.
Faida ya kumiliki vitabu hivi ni kukuepusha mbali na hasara, huku vikikufanya kuyatambua Madini ya Vito kwa Uhalisia pamoja na Thamani zake.

JINSI YA KULIPIA NA KUDOWNLOAD.
Bofya picha ifuatayo Kisha chagua aina ya kitabu na kubofya batani yenye neno "Add to Cart" , baada ya hapo utachagua njia ya malipo utakayo itumia na kuweka kiasi Cha Dollar 1, Kisha utakamilisha muamala wako na baada ya malipo kupokewa utapelekwa Moja kwa Moja mpaka kwenye ukurasa wa kudownload, hapo utabofya batani yenye neno "Download" Kisha baada ya Sekunde chache utakuwa ushapokea kitabu chako na kuanza kukitumia utakavyo.

HATIMILIKI.
Kila programu huwa na haki ya kujilinda yenyewe pamoja na mali zake, hivyo T-TanzaniteGram Blog pekee ndio yenye vibali vya kusambaza Vitabu hivi, na ni kosa la jinahi kuvisambaza pasipo kibali kutoka kwake. Hakimiliki zimehifadhiwa. Asanteni.
 

Attachments

  • Screenshot_20250707-134155_1.jpg
    Screenshot_20250707-134155_1.jpg
    50.6 KB · Views: 18
  • download (23).jpeg
    download (23).jpeg
    8.8 KB · Views: 22
Back
Top Bottom