Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 728
- 320
Tanzania education publishers ltd-TPH book shop ltd(Home)
wanatoa vitabu vinavyousu kilimo,ufugaji n.k
unaweza check nao kwa information zaid.
Ahsante Radio Producer...
Nadhani kuna haja ya kupata waandishi kama hawa wa hapa kwetu ambao pengine tungeandika masuala haya kwa kiswahili. Nina imani kwamba watu wengi ambao hawafahamu lugha ya kiingereza wanakosa uhondo huu. Ukipita katika maduka yetu ya vitabu unakuta vitabu vya mitaala ya shule tu,
Niko mbioni kuangalia nawezaje kuchangia angalau kuandika kitabu kimoja.
Tafadhali virushe vingine kama vipo
Wasalam wana JF,
Kuna mtu hapa JF nampongeza sana kwa upendo wake na utoaji wa msaada wa kisomi. Yeye huwa natoa vitabu vinavyohusu mafanikio mara kwa mara kwa wale ambao hawajaviona naviweka hapa, jitahidi uvimalize kuvisoma utafurahi! Pia kama una vitabu vinazungumzia mafaniko tuatachie hapa sisi tujisomee!
Asante.
Mimi nina kitabu kizuri sana tittled Brings out the magics in your mind kilichoandikwa na Al Koran lakini sijaweza kupata online copy..i bought a hard copy online from individual..ukikipata online kisome kina manufaa sana
Wasalam wana JF,
Kuna mtu hapa JF nampongeza sana kwa upendo wake na utoaji wa msaada wa kisomi. Yeye huwa natoa vitabu vinavyohusu mafanikio mara kwa mara kwa wale ambao hawajaviona naviweka hapa, jitahidi uvimalize kuvisoma utafurahi! Pia kama una vitabu vinazungumzia mafaniko tuatachie hapa sisi tujisomee!
Asante.
Asante sana mkuu
Naam naungana nawe kabisa kumshukuru huyu bwana, amekuwa msaada sana. Mi bado nasoma kitabu cha mafanikio. Mungu ambariki huyu muugwana
Wasalam wana JF,
Kuna mtu hapa JF nampongeza sana kwa upendo wake na utoaji wa msaada wa kisomi. Yeye huwa natoa vitabu vinavyohusu mafanikio mara kwa mara kwa wale ambao hawajaviona naviweka hapa, jitahidi uvimalize kuvisoma utafurahi! Pia kama una vitabu vinazungumzia mafaniko tuatachie hapa sisi tujisomee!
Asante.
Asante sana,navidownload vyote nitavisoma taratibu,kuna umuhimu wa kufanya translation ya hivi vitabu ili watanzania wengi wapate fursa ya kuvisoma
Yani mimi nimekaribia kukimaliza kioma aisee nahisi kupanuka kichwani hadi naanza kuona ajira ya mshahara wa uji si kitu zaidi ya kuwa mkulima bora kwa mwaka mmoja ukaja kuwa na kiwanda chako kidogo

Mkuu majority tunakosa ujasiri tu kuachana na hicho kitu(hapo kwenye red) lakini for sure inaumiza sana
Mkuu majority tunakosa ujasiri tu kuachana na hicho kitu(ajira yenye mshahara wa uji) lakini for sure inaumiza sana
Ndugu yangu ukisoma hivyo vitabu hakuna atakaye kupa ujasiri mwenyewe utajiweka sehemu nzuri bila kuskumwa! Commitment maishani ni kitu muhimu sana!
kiko wapi sasa?Rich Dad, Poor Dad by Robert Kiyosaki..
Rich Dad, Poor Dad by Robert Kiyosaki..