muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Asante sana mkuu, nawasubiri hawa nguli wa uandishi waje!
Hahahahaaaaa, kwanini mtihani kaka? Vipo, japo mtu unaweza kujifunza kupitia uzoefu wa kusoma vitabu mbalimbali hivyo kujua uandishi wa watu mbalimbali then at the end na wewe kutengeneza mchanyato wa design yake katika uandishi wako! Sasa, sema nahisi watu kwa haraka zaidi wanaweza kupata vya kiingereza tu!Huo mtihani mkuu!
Hakyanani sitaacha kukufukuzia mpaka nikupate!! Najua baba yako Mtambuzi ni wa mjini hata kama nikimtuma vijana wa siku hizi wanasema hamna 'shobo'!yaani wewe hufai kabisaaaaa. unanifukuzia na unamtuma salamu babangu Mtambuzi! utapigwa panga la makalio wewe! mie kiurahisi bwana ninge-google. ila nikiri tu nimeharibiwa na ukoloni, siwezi kuwaza sana kwa kiswahili. kila la kheri with your new hobby
Hakyanani sitaacha kukufukuzia mpaka nikupate!! Najua baba yako Mtambuzi ni wa mjini hata kama nikimtuma vijana wa siku hizi wanasema hamna 'shobo'!
Nimegugo (usishangae hapo nimetohoa kutoka kwenye neno 'google', teh teh!) nikapata makabrasha yaliyoandikwa kwa kiingereza! Kiingereza pia si shida kwangu ila tu nimefanya kiswahili kama chaguo la kwanza kwani maudhui itakuwa ya kiafrika/kitanzania zaidi kuliko kiingereza ambayo itakuwa na maudhui iliyojaa radha ya mawazo ya kimagharibi! Lakini hata hivyo nadhani kwa kiasi kikubwa itanisaidia!
Writing is my hobby tangu zamani ila sasa kwa miaka mingi niliizika na sasa inafukuta kweli ndani ya moyo wangu ili niifufue, thats why!!
Thanks, point taken!hakyamama!
sasa lets cut a deal, nitakufanyia proof reading bure kwa sababu napenda kusoma. ila tukubaliane uache kunifukuzia. siku nikikutolea macho (ndo lugha ya mjini ya kutamani nadhani), mie ndo nitakufukuzia.
nimechoka kufukuziwa, nisije nikaishiwa pumzi ukanikata ngwala bureee:llama::llama: