Joram Dymisster
JF-Expert Member
- Apr 7, 2014
- 502
- 418
Habari wana JF..
Leo nimekuja na wazo baada ya watu wengi kunieleza huko PM kuwa wanahuitaji wa vitabu kuhusu mambo mbalimbali kwenye tasnia ya techology.Nimekuja na wazo la kuweza kutengeneza APP ambayo itakuwa ni libray ya vitabu vya kada ya technoloy lakin sikupenda kuitengeneza app kabla sijapaya mawazo na mtazamo wa wahitaji vitabu hivyo.Nikiwa nina maana ya kuweza kupata mawazo ya wahitaji wa vitabu hivyo ili niweze kuchagua ni vitabu gani viweze kuwa naweka kila siku.Hizi ni moja ya course au lectures ambazo vitabu vyake ninavyo....
programming, computer science, web design, mobile app development, software engineering, networking, databases, information technology.
KINACHO TAKIWA KUFANYIKA NI NYINYI KUPIGIA KURA COURSE AU LECTURE AMBAYO MNAHITAJI VITABU VYAKE KUWEPO KWENYE APP...ILI NIWEZE KUANZA KUWEKA HIVYO VITABU NA KUIACHIA KUANZA KUFANYA KAZI.
NB; LIKE UZI HUU KABLA YA KUPIGA KURA YAKO.