Vitabu vya geography

Vitabu vya geography

Nna kitabu kizuri cha physical geography kinaitwa elementary physical geography by Ahmed lubwamwa kina topics zote za physical geography ikiwemo wetland
 
Geo 1(physical)-tafuta burnett itakusaidia kwenye michoro ,ila maelezo na kwa ajili ya kujibia mitihani ya ndalichako tafuta msabila

Geo 1(practical)-tafuta zist japo yupo hovyo kwenye photo intepretation na survey hajamaliza ila mtafute huyo

Geo 2-mchawi msabila kila kitu utapata huko
 
Burnett ataishia kuona picha za milima tu.
Hakuna atakachopata.
Ila topic ya plate tectonic wameelezea vizur sana
 
ni wabongo wenye unafuu,kuna ktabu kimechapwa na Longman n practical geo nikizur zaid na kwa physical geo ndo hyo integrated Geograph. Msab na zist kuna topic kama WETLAND HAWANA NA HATA ALIYOITOA ZIST( kuna kajitabu zist kaunganisha na topic ya soil) Hakikidhi haja ya mwanafunzi juu ya topic ya Wetland
Kitabu kipya cha Msabila kina wetland sa hv
 
Principal of Physical Geography,FJ Monkhouse 45,000.Practical Geography for Africa JM Pritchard 35,000.Landforms appreciation,Mc Night,Shipping from abroad Us40
 
Back
Top Bottom