Vitabu vya elimu ya kilimo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitabu vya elimu ya kilimo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msongoru, Jan 16, 2012.

 1. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wadau! Nimeamua kwenda kulima... nimekata shauri kuwa mkulima lakini wa kisasa. Tafadhali naomba msaada wa yeyote mwenye vitabu vya ELIMU YA KILIMO anisaidie. Ikiwa kwenye soft copy itakuwa vizuri, vinginevyo bado nitashukuru. Vikiwa kwenye lugha ya kiswahili (kama vipo) itakuwa vizuri vinginevyo nitashukuru pia..

  Natanguliza shukrani zangu za dhati..
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,002
  Trophy Points: 280
  Ni wazo zuri sana. Ili ulime kitaalama nenda chuoni kabisa upate angalau diploma pale Tengelu.
   
 3. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ahsante Ndebile! Nashukuru kwa ushauri ila kwenda chuo kwa sasa sio rahisi kiasi hicho. Mbali na gharama nahesabu zaidi muda. Hebu nione waliosoma hapo Tengeru kama wapo humu wanisaidie basi hiyo elimu.

  Naendelea kutanguliza shukrani...
   
Loading...