ChimpuluNchimbi
Member
- Jun 5, 2017
- 95
- 124
Kwa mujibu Wa taratibu za kiuungwana nimeona ni vyema na haki vitu vizuri nikala na wenzangu...
Basi nikaona si mbaya kama ntashea list ya vitabu vitano vitakavyoweza kuchochea uelewa wetu juu ya mambo mengi ya dunia hii.
Wana JF wenzangu, wapenda kusoma vitabu na hata wale wasio na mazoea ya kujisomea vitabu mbalimbali ili kuboost skills pasipo shaka nadhani vitabu hivi vitatuweka pazuri hasa katika ishu nzima za kupimp akili....
1. Emotional Intelligence
By Daniel Coleman
2.Finding Your Element
By Lou Aronica
3.How Will You Measure Your Life?
By Clayton M. Christensen
4.13 Things That Mentally Strong People Don't do
By Amy Morin
5. How To Stop Worrying And Start Living
By Dale Carnegie