Vitabu bora zaidi kwa advanced physics

Vitabu bora zaidi kwa advanced physics

Muuza vitabu

Member
Joined
Dec 20, 2019
Posts
6
Reaction score
0
kwa wale wanafunzi na wazazi wenye wanafunzi ambao wanasoma advqnced physics au diploma, nawapa bishara njema kwa kuwa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na Elias kihombo sasa vinapatikana kwa bei nafuu ya sh 15000 tu.
tanbihi: vitqbu hivi niwape siri ni vitabu pekee ambavyo unaweza kukaa nacho na ukasoma mwenyewe bila kufundishwa na mwalimu kwa kuwa vime cover concepts inavyotakiwa huku kukiwa na maswali ya kutosha kukupa basics zote. trust me!

0629105780
0717557386
0744901185
Screenshot_2019-12-18-18-37-57.jpeg
Screenshot_2019-12-18-18-38-38.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello wanafunzi ambao wapo humu jf. kwa yeyote anayesoma advance physcs atakubaliana na mimi kuwa phscs inqmsumbua hahaha..
whatts solution?
nauza vitabu vya Elias kihombo phscs txtbooks(sio mapamflect) ambavyo ni 15000 tu.
vitabu hivi vitakufanya uipende physcs na pia uwe na uwezo wa kuisoma mwenyewe bila kufundishwa na mwalim/mwqnafunzi mwenzio.
pia hivi vitabu vitawasaidia wale walimu wa phscs waliopo humu jf kufundishia na kuielewa vizuri zaidi physcs. masomo mema!
0717557386
0629105780
0744901185
Screenshot_2019-12-18-18-37-29.jpeg
Screenshot_2019-12-18-18-37-18.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitabu vya Sasa yaan vimejazwa picha nzuriii ! Mwanafunzi unaweza kumchek kama ame weka umakini ktk kukisoma kumbe anacheki picha tuu ... Vitabu kama Nelkon etc watoto wa Sasa hawataik kuviona kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vyote ni vitabu kwa kuwa vina ISBN,na vimethibitishwa na taasisi ya elimu,vinatambulika na NECTA

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni TO wa 2006. alinifundisha tuition Old boy. Kuna uzi huu unamzungumzia

 
Back
Top Bottom