Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
AsanteIngia playstore udownload. Mim nilivipata huko baadhi ya hivyo vitabu
AsanteIngia playstore udownload. Mim nilivipata huko baadhi ya hivyo vitabu
KaribuAsante
Napendelea physical library! Unafahamu bookstore nayoweza pata?Ingia playstore udownload. Mim nilivipata huko baadhi ya hivyo vitabu
vingi ingia google playWeka link tupakue..
Hakuna vya lugha yetu ya taifa la maajabu?Habari zenu wakuu.
Vipo vitabu vingi ambavyo unaweza kusoma lakini leo naomba niwape list ya vitabu kumi na mbili ambavyo kwa upande wangu nadhani ukivisoma na kufuata maelekezo utaweza kubadili maisha yako kwa ujumla.
Achana na vile vya James Hadley Chase ambavyo asilimia kubwa ni kwaajili ya kuburudisha hapa nazungumzia vitabu ambavyo vitakujenga.
1.How to win friend and influence people by DALE CARNEGIE.![]()
2.Rich Dad poor Dad by ROBERT KIYOSAKI.![]()
3.Cash flow quadrant by ROBERT KIYOSAKI![]()
4.The slight edge by JEFF OLSON.![]()
5.Mastery by ROBERT GREEN![]()
6.Antifragile by NASSIM TALEB![]()
7.Predictably irrational by DAN ARIELY![]()
8.Start with why by SIMON SINEK![]()
9.The 4 hour workweek/Escape 9-5.by TIM FERRISS![]()
10. Outliers by MALCOLM GRADWEL.![]()
11.The 48 law of power by ROBERT GREEN![]()
12.The obstacle is the way by RYAN HOLIDAY.![]()
ThanksHow to win friends and influence people
Sasa mbona vyote ni ung'eng'e mtupu, kwani humu ndani wote niYaani hicho cha HOW TO FIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE ningeshauri kila mtu akisome.
Nilipoteza changu sijui naweza kukipata wapi mkuu.!?
basi ndo hivyo tena!! hapa hadi tumtafute RAS SIMBA ili twende pamoja na vitabu hiviSasa mbona vyote ni ung'eng'e mtupu, kwani humu ndani wote ni
Kuna vitabu vizuri vya kiswahili pia!!! Ila hivi vinakubalika dunia nzimaSasa mbona vyote ni ung'eng'e mtupu, kwani humu ndani wote ni
Hahahahaha duuu hii sasa kalibasi ndo hivyo tena!! hapa hadi tumtafute RAS SIMBA ili twende pamoja na vitabu hivi
Kw kutusaidia na sisi kina yakhe, tuleteeni na vyakiswazi km kweli mwatupenda tufanikiwe soteKuna vitabu vizuri vya kiswahili pia!!! Ila hivi vinakubalika dunia nzima
Physical inapendeza,wakati unaendelea kusoma vya kupakua Hapa,ukipata nafasi nenda House of Wisdom,mezzanine no 22,NHC House,Samora Avenue kama hawajahama utapata vitabu pale.Napendelea physical library! Unafahamu bookstore nayoweza pata?
Asante sana Mkuu ubarikiweNgoja nitavitupia hapa kila mtu apate.
Huna haja ya ku-quote mivitabu yote, hata unge-comment tu tungekuelewa mkuuHakuna vya lugha yetu ya taifa la maajabu?
Ntafanya hivyo mkuu!!! Ndio naendelea na e-books piaPhysical inapendeza,wakati unaendelea kusoma vya kupakua Hapa,ukipata nafasi nenda House of Wisdom,mezzanine no 22,NHC House,Samora Avenue kama hawajahama utapata vitabu pale.