Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 708
- 2,089
Inakuchukua mda gani kumaliza kitabu kama hiki? Mi nimekisoma naona simalizi page 1600+ si haba inataka moyo kukimaliza
Inakuchukua mda gani kumaliza kitabu kama hiki? Mi nimekisoma naona simalizi page 1600+ si haba inataka moyo kukimaliza
Yeah ni kizuri sana,ila vyote ni vizuri sana,nilikuwa sipendi novel ila east of Eden nimekipendaNimesoma vyote.. But mostly I could Recommend How to win friends and Influence People. 48 Laws kina Deception Nyingi.
Almost 2 weeks kama haupo busy sana,ila kama una mambo mengi a monthInakuchukua mda gani kumaliza kitabu kama hiki? Mi nimekisoma naona simalizi page 1600+ si haba inataka moyo kukimaliza
Shukran Mkuu, hivyo ni vitabu ambavyo nimesoma najaribi ku share ili kula mtu apate hamu ya kusomaAhsante
Nitafute boss navyo vyoteKuna baadhi ya hivi vitabu navisaka mpk leo sijavipata aisee