Vita ya Vyeti feki inaweza kwenda sambamba na vita ya Madawa ya Kulevya

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,360
6,066
Wote tunajua kua Kamishna Rogers Siang'a ndiye amepewa jukumu La kupambana na wauza sembe nchini.
Tunamuunga Mkono katika hill yeye pamoja na mkuu wa nchi.

Sitaki kuamini kua:-

1.Bila akina Daudi vita hii haitafanikiwa.
Hii sio vita ya One Man show.

2. Pia sitaki kuamini kua; vita hii haiwezi kwenda sambamba na ukaguzi wa "cheti feki".

Ila nataka kuamini kua;- kama tutamkabidhi MTU asie "msomi" (Mtaalamu) na "mwadilifu katika Vyeti vyake" anaweza kutufanya tushindwe kufikia Lengo.

Kazi ya Akili Kubwa haiwezi kufanikiwa kwa kutumia akili ndogo.
 
Back
Top Bottom