Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Hongera mkuu ila umeileta kiudaku~udaku sana…1 November 1955 – 30 April 1975
Vita hii ni vita mbaya zaidi kwenye historia ya kivita ya Marekani.
Vita ilikuwa kati ya Vietnam kusini na Kaskazini.
Mmarekani na wenzake, akajiunga kumsaidia Vietnam Kusini, wakati China, Cuba, Russia na wajamaa wengine wakaungana kumsaidia Vietnam Kaskazini.
Kwenye vita hii, USA ilipigwa vibaya sana, hadi ikaingia mitaani kukusanya mabaunsa, wababe na wote walioona wanafaa ili wakapigane vita.
Kwenye vita hii, Vietnam Kaskazini walishinda vita, USA na nduguze walikimbia huku wakipata hasara kubwa.
Karibuni kwa maoni zaidi.
NB:
Vita ni mbinu na Si kelele nyingi.
Sijasahau:-
BASHITE tunataka vyeti
Sina undugu nae, yeye kasema Mimi ni nduguye?Hongera mkuu ila umeileta kiudaku~udaku sana…
Anyway wenye nondo tusaidieni mzigo!
Alafu hivi,una undugu na Mange yule mdada wa IG?
Note:
Bashite achia vyeti vyako
And so was Goliath only to be outsmarted by David!Vietnam ya Kusini ilikuwa haina uthibiti kama ilivyokuwa Vietnam ya Kaskazini
Amerika alikuwa anatoa msaada wa ushauri, vitaa vya vita hivyo si kweli America alipigana hii vita moja kwa moja
Vietnam ya Kaskazini ilikuwa haitaki Vietnam Kusini wajitenge.
Vietnam Kusini ilikuwa si imara kwa sababu ya uchanga wake. Ni sawa na kikundi kilichojitenga kinataka kutangaza uhuru wao
America aliamua kuondoka Vietnam kwasababu ilikuwa pointless war.
America alitii sauti za wananchi wake ambao walitaka askari wao warudi nyumbani.
Mwisho: The United States of America is the most powerful nation on earth.
You can't compare the mighty of US army with Vietnam
Kwanini aliingia mitaani kukamata RAIA wake waende front line?Vietnam ya Kusini ilikuwa haina uthibiti kama ilivyokuwa Vietnam ya Kaskazini
Amerika alikuwa anatoa msaada wa ushauri, vitaa vya vita hivyo si kweli America alipigana hii vita moja kwa moja
Vietnam ya Kaskazini ilikuwa haitaki Vietnam Kusini wajitenge.
Vietnam Kusini ilikuwa si imara kwa sababu ya uchanga wake. Ni sawa na kikundi kilichojitenga kinataka kutangaza uhuru wao
America aliamua kuondoka Vietnam kwasababu ilikuwa pointless war.
America alitii sauti za wananchi wake ambao walitaka askari wao warudi nyumbani.
Mwisho: The United States of America is the most powerful nation on earth.
You can't compare the mighty of US army with Vietnam
Enzi hizo Wamarekani walitakiwa kujiunga na Jeshi kwa mujibu wa sheria (kama ilivyokuwa kwetu enzi za National Service). Hivyo Moh'd Ali alitakiwa kufanya hivyo.Kwanini aliingia mitaani kukamata RAIA wake waende front line?
Je Mohammed Ali alikuwa na ushauri gani kwa jeshi LA Marekani?
The Vietnamese army is not strong enough to confront the mighty of US amry. You should know thisAnd so was Goliath only to be outsmarted by David!
It was a pointless war ndiyo maana wananchi walipinga.Kwanini aliingia mitaani kukamata RAIA wake waende front line?
Je Mohammed Ali alikuwa na ushauri gani kwa jeshi LA Marekani?
Mkuu mwamwindi vipi1 November 1955 – 30 April 1975
Vita hii ni vita mbaya zaidi kwenye historia ya kivita ya Marekani.
Vita ilikuwa kati ya Vietnam kusini na Kaskazini.
Mmarekani na wenzake, akajiunga kumsaidia Vietnam Kusini, wakati China, Cuba, Russia na wajamaa wengine wakaungana kumsaidia Vietnam Kaskazini.
Kwenye vita hii, USA ilipigwa vibaya sana, hadi ikaingia mitaani kukusanya mabaunsa, wababe na wote walioona wanafaa ili wakapigane vita.
Kwenye vita hii, Vietnam Kaskazini walishinda vita, USA na nduguze walikimbia huku wakipata hasara kubwa.
Karibuni kwa maoni zaidi.
NB:
Vita ni mbinu na Si kelele nyingi.
Sijasahau:-
BASHITE tunataka vyeti
Mohammed Ali alipokwa mkanda kwa kukataa kwenda vitani. Usipotoshe.Enzi hizo Wamarekani walitakiwa kujiunga na Jeshi kwa mujibu wa sheria (kama ilivyokuwa kwetu enzi za National Service). Hivyo Moh'd Ali alitakiwa kufanya hivyo.
Umebugi meeenEnzi hizo Wamarekani walitakiwa kujiunga na Jeshi kwa mujibu wa sheria (kama ilivyokuwa kwetu enzi za National Service). Hivyo Moh'd Ali alitakiwa kufanya hivyo.
The Vietnamese army is not strong enough to confront the mighty of US amry. You should know this
Hakufanya analysis?It was a pointless war ndiyo maana wananchi walipinga.
Sio tu walipinga jeshi kuwa Vietnam pia wapiginga fedha kutumika kusapoti pointless war ya Vietnam.