Vita ya Urais yahamia kwa Januari Makamba, Mikakati ya kuiangusha UKAWA yahusishwa

Kuna kitu kinaendelea si bure..dizaini kama kuna mtu anakimbia kivuli chake.
 
hv inamaana Tanzania hamna viongozi wanaofaa kuwa viongozi mpaka bwana upara ateuliwe?

Watanzania wanawafahamu viongozi makini wanawatumikia katika kweli na sio wapiga majungu. Ukiona zaidi ya asilimia hamsini ya watu wanamkataa kiongozi fulani basi huyu sio kiongzi makini. Nani atakayekataa kila mtu alikuwa na anamkubali magufuli?

Kwa nini wingi wa watu wamkatae huyu? Lazima kuna uwalakini hapa.

Rais wetu alituambia '' haitakuwa business as usual '' naamini atayasimamia matamshi yake. Na wale waliokuwa wapiga majungu wakisubiria business as usual wajiandae tu kisaikolojia watakapotoswa.
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe! Haya January tumekusikia ... Najua unajua kuwa hiyo tofauti ya 2 milioni mliichakachua. Na Rais JPM anajua wananchi hawana imani na CCM tena na ndio maana hachanganyi chama na serikali kama mtangulizi wake. Na ameamua kuitelekeza ilani ya CCM na kutekeleza ilani ya Ukawa. Na tunajua wanachi hawakuichagua CCM bali Magufuli, hasa wale wa upinzani! Acha unafiki dogo.
 
Baada ya Zitto nadhan anafata january kuchukiwa na Chadema. akiteuliwa kuwa Waziri sijui wataweka wapi sura zao.
 
Hii thread ameanzisha January mwenyewe.

Mkuu tuna mawazo sawa. Na kama sio yeye basi kaomba mtu aandike kwa niaba yake. Nina mashaka hapa Makamba ana jaribu kumvuta Magufuli ili awekwe mahali anapo taka baada ya kukosa Uwaziri mkuu. Kwa ushauri wangu. Makamba hana msaada kwa Watanzania. Makamba yupo kwasababu ya ubinafsi na kupalilia uongozi wa watu wengine. Magufuli ampe hata ukurugenzi mahali lakini kwa uwaziri asikubali kumpa huyu kwasababu nia ya kweli ya mabadiliko aliyo anzisha haiendani kabisa na tabia na nia ya January/ mtu wa watu.
 
Mzee Pombe njoo huku JF uone wanavyokudhalilisha eti umepata kiti kwa juhudi za January! Wamesahau mzee mzima ilibidi upige mpaka pushup na kucheza mapanga shaa na Wanaume wa Temeke? Hawajui kuwa ulikuwa una risk afya yako? Jee kwenye zile pushup na mapanga shaa ungetenguka nyonga wakati wao na mzee wa Tembo wanapiga dili za hela za kampeni?
Wakuache bwana!
 
Vita ya Urais yahamia kwa January .

Kwanza kabisa hongera comred January Makamba kwa kushinda ubunge bila kutumia nguvu kubwa,pamoja na kuwa ulikuwa umejikita zaidi kumvusha Mgombea wa ccm lakini ulishinda ubunge,hii inatoa tafsiri kuonyesha ni kwa kiwango gani unaaminiwa na kukubalika kwa wananchi wako wa Bumbuli.

Tangu wakati wa uchaguzi,pamoja na kuwa wana ccm wengu walipambana kuhakikisha Magufuli anashinda lakini Matusi ,Kejeli,vijembe na kila aina ya lugha ya kuvunja moyo ilitolewa na wapinzani ikimlenga January Makamba.

Ile hali ya wapinzani kumshambulia Mwigulu na Lusinde awamu hii ilihamia kwa January.

Kwanini mashambulizi yawe kwa January?

Baada ya ukawa kuangalia mwelekeo wa kampeni,waliona kila dalili ya kupata ushindi,wana ccm wengi waliishiwa pumzi na kuendelea kufanya siasa za kizamani,lkn kila mara January alikuja na mikakati iliyogeuza upepo.

January alikuwa ndio bingwa wa mikakati ya kutibua kila mbinu ya ukawa.

January ndiye aliepanga advance team ifanye nini ili mkutano ufane.

January ndie alikuwa king of Media kuhakikisha Mgombea wake anapata coverage kubwa.

January alikuwa mtu hatari kwa upinzani.

Lowassa na timu yake waliendelea kuwatumia wana ccm Mamluki waliokuwa ndani ya ccm kuwavujishia juu ya umakini wa January katika kutibua move za Ukawa.

Hatimae Magufuli akashinda,Ukawa bado wanaamini kuwa January Makamba ni mtu aliewakosesha ushindi kwa kutomuunga mkono Lowassa.

Hasira za Ukawa na wafuasi wao sasa kila wakiamka wanamuota January Makamba.

January kaingia kwenye vita kubwa mithili ya mtu aliewakosea sana kuliko hata waliopanda majukwaani na kumkashifu Lowassa.

Ukawa wamekuja na plan B kuhakikisha wanamchonganusha January na viongozi wa ccm.

Kuhakikisha January anakosana na viongozi .

Kubwa zaidi kuhakikisha magufuli anamchukia January ilo apotee kisiasa kisiasa.

Kwa maoni yangu ,pamoja na vijembe matusi na kashfa zinazotengenezwa dhidi ya Kijana
Mwenzangu mwenye matarajio makubwa ya kisiasa.

Bado naamini kuwa ,January ni hazina ya Tanzania,nikijana atakae saidia sana serikali ya awamu ya Tano hasa kipindi ambacho sayansi na teknolojia nimuhimu katika uendeshaji wa serikali.

Wakati ambao niwakizazi cha kuhoji.

Wakati ambao wanatakiwa vijana kuandaliwa kwaajili ya kushika uongozi huko tuendako.
January usikate tamaa,

Ukiona wapinzani wanakulaumu basi ujue upo sahihi,ongeza gia mtoto wa Makamba,wapuuze wote wenye fikra za kukubomoa kisiasa kama kisasi cha kuukosa Urais.

Rais ni John Pombe Magufuli,hutaki hamia Somalia.

Unasafisha kopo la chooni unywee maji ya kunywa.
 
Inawezekana kweli alifanya kazi nzuri ya chama,...na kwa hilo apewe tu hata ukatibu mkuu wa chama....lakini kwa uwaziri wa nchi hii ya kwetu sote...God forbid.
Mwenyewe amekaa kimajungu majungu, mnasema yuko smart, smart kwa lipi? au kukariri quotes za watu maarufu au?.....Tumeisha ona njia ya Tanzania kupita na gari tunalo, msituongezee watoboa tairi bana...hatuhitaji pancha.
 
Kwenye baraza kivuli la mawaziri, Makamba hayupo ila lile la kweli, ni waziri!
Moja ya usmart wake ni kuwazidi kete vijana wa IT.
 
Umetumwa? Acha kumfagilia January Makamba yeye alikuwepo pale after money hakuwa na upendo na Magufuli wala wananchi wakazi wa Jimboni kwake hawakumchagua bali akina Najm Msenga walitumika kununua Goli la mkono ametumia pesa nyingi sana kupata Ubunge bahati nzuri alikuwa na mwanya wa kuiba pesa za kampeni za CCM na kuzitumia kununua Goli la mkono, mwigulu na January walipiga billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea hadi Magufuli akapagawa ikabidi akina kinana wamtume Membe na Jack Gotham kwenda China kutembeza bakuli kuwatisha kuwa endapo Ukawa wataingia ikulu wataifuta mikataba yote ya China ikiwemo ya bandari ya Bagamoyo ndipo Serikali ya China wakatoa pesa zingine nyingi ambazo pia January alizimega pia, January hana uadilifu hata chembe amekuwa akiitumia ikulu kujipatia 10% kwa wawekezaji wote waliokuja Tanzania kuwekeza, ana kampuni yake binafsi ya kusaka wawekezaji huko nje akiwapata huwapiga pesa kabla ya kuwapeleka ikulu, kajinufaisha sana kipindi cha JK hata mladi wa mararia wa Sugu aliupora kimafia na kumfanya JK kuwa mlezi pasipo kujua kuwa kampora Sugu. wewe nenda kawadanganye wajinga tu lakini wajanja wote wanamjua January Makamba hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10
 
jamaaa anampigiaa debe baada ya jamaaa kuukosaa ukiranja mkuuu sasa imebidi apigane kupata angalau ukiranja wa mambo ya njeee kitu ambacho sinaa hakika kamaa atapata
 
Inawezekana kweli alifanya kazi nzuri ya chama,...na kwa hilo apewe tu hata ukatibu mkuu wa chama....lakini kwa uwaziri wa nchi hii ya kwetu sote...God forbid.
Mwenyewe amekaa kimajungu majungu, mnasema yuko smart, smart kwa lipi? au kukariri quotes za watu maarufu au?.....Tumeisha ona njia ya Tanzania kupita na gari tunalo, msituongezee watoboa tairi bana...hatuhitaji pancha.
January Makamba kwanza ni mshirikina sana anapenda ulozi hakuna mfano Kama kamrithi baba yake, yeye na Membe wakati wa kampeni walileta waganga wa kienyeji 200 toka Gambia, Amazon, Mongolia na Nchi zingine kibao na wengine wapo kwake hadi leo wakitumika kumpigania awe Waziri wa Uchukuzi atulize soo la makontena huku akiwa akipeleka siri za baraza la mawaziri kwa Jk, January hafai hata kuwa mjumbe wa shina.
 
jamaaa anampigiaa debe baada ya jamaaa kuukosaa ukiranja mkuuu sasa imebidi apigane kupata angalau ukiranja wa mambo ya njeee kitu ambacho sinaa hakika kamaa atapata

Mkuu kinana na JK wapo busy kumpigania awe Waziri wa uchukuzi akapoze soo la makontena yaliyopotea.
 
Amekosa uwaziri mkuu akakasirika na kumtukana boss wake. Anyway hii sijui kama ni kweli lakini kuna rafiki yake alinambia eti aliitwa na kupewa Uwaziri mkuu akaukataa. Sina hakika na habari hii

Ni bora ibakie kuwa tetesi milele kwani January isingekuwa vigumu kuukata Uwaziri mkuu.
 
Amekosa uwaziri mkuu akakasirika na kumtukana boss wake. Anyway hii sijui kama ni kweli lakini kuna rafiki yake alinambia eti aliitwa na kupewa Uwaziri mkuu akaukataa. Sina hakika na habari hii

Apewe Uwaziri mkuu aukatae:what: Huyo mroho wa madaraka akatae nafasi kama hiyo:what: Acheni utani nyie:D halafu we mleta mada kama umetumwa kumpigia chapuo ili apate uwaziri mwambie asahau kabisaa:what: yeye akitoka bungeni aende zake bumbuli.
 
Back
Top Bottom