Vita ya Pakistan na Afghanistan Mmeipotezea?

Vita ya Pakistan na Afghanistan Mmeipotezea?

Hii ni vita ya Sunni vs Sunni aka Waja vs Waja😂😂

Sisi Makafir tupo tunawaangalia tu huku tunatafuna mahindi ya kuchoma😂
 
Waislam wakipigana husikii promo

angalia Sudan yanavyouana

unajua kwa Nini
kwasababu hawana wa kumlaumu Israel USA
 
Taliban walitangaza kuwa endapo Israel na Marekani wataishambulia Iran wao watakuwa upande wa Iran. Kabla hawajafanya hivyo wamejikuta wanakula kichapo kutoka kwa wahindi wa Pakistan na hakuna wa kuamulia.
 
Walijifanya kujitutumua huku wakiwa hawana vifaa vya kisasa vya kijeshi. Wamezoea vita vya zamani vya kupigana na kujificha kwenye mapango jangwani wakati siku hi?I watu wanatumia ndege na drones kwenye mashambulizi. Bado wana mbinu za kizamani wataliban
 
Hii vita dau lake dogo,tuko huku kwenye hela ndefu
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom