Vita ya Lissu na Halima Mdee inaonyesha dhahiri kichwa cha Halima kiko CHADEMA ila tumbo ndio liko CCM

Ulipaswa kusema kichwa chake kipo Chadema na msamba wake upo CCM,kwa sababu,binadamu,kama dinassaurs,wana akili mbili; moja ipo juu kichwani na nyingine iko chini karibu na msamba,ina control mambo ya chini.
Binadamu ana akili moja chini,jambo ambalo watu wengi watakumbuka kesho jumamosi asubuhi.
 
Wengi hawajui Kwamba Halima Mdee kama ilivyo kwa Zitto walitembelea Nyota za mama zao LAKINI wao wenyewe siyo Wanasiasa japo ni Wasomi wazuri

Tundu Lisu ni Mwanasiasa anayejitegemea Kimaarifa tofauti na Wanasiasa wengi nchini

Lisu anafanana Kabisa na Julius Nyerere kiujasiri binafsi

CCM kwa sasa Wanasiasa wenye maarifa binafsi ni Rostam Aziz na Ahmed Shabiby ila wengi hawawezi kuliona hilo 😂😂
Sina hofu juu ya UZALENDO wa Lissu; lakini bado siwezi kumlinganisha na Mwalimu Nyerere katika mambo mengi.
Unajuwa, ilikuwa inahitajika sifa maalum aliyokuwa nayo Nyerere, ya kuweza kuwa kiongozi hata katika mazingira ambayo yasingeruhusu apewe uongozi. Kwa mfano. Alipokuja Dar es Salaam, kama inavyosimuliwa, aliwakuta wazee wa hapo na TAA yao; lakini hawakusita hata mara moja kumpa jukumu la kuongoza, mgeni huyu. Na hakushindwa kuongoza, hadi akaiunda TANU..., na mengine yote hadi tukafikia uhuru

Lissu, hajapata bahati na nafasi ya namna hiyo aliyopata Mwalimu Nyerere, ili tuweze kumlinganisha kama unavyofanya wewe hapa.
Jambo lililo wazi na halijifichi, wote wawili wanachukizwa na hali mbovu ya wananchi wa nchi hii. Rekodi ya Lissu juu ya hili angalau inajulikana kwa kazi alizokwisha fanya sehemu mbalimbali hapa nchini.

Hao akina 'Roast na Shabby', sijui kwa nini umeamua kuwaweka kwenye andiko lako hilo. Sina la kuwazungumzia katika jibu hili.
 
Ulipaswa kusema kichwa chake kipo Chadema na msamba wake upo CCM,kwa sababu,binadamu,kama dinassaurs,wana akili mbili; moja ipo juu kichwani na nyingine iko chini karibu na msamba,ina control mambo ya chini.
Binadamu ana akili moja chini,jambo ambalo watu wengi watakumbuka kesho jumamosi asubuhi.
EEEeeenHEEEeeee!
Wewe jama kweli una mambo. 'Figuratively' umeelezea hali halisi kabisa. Hizo chembechembe (cells) za ubongoni, ni sawa na zile zilizopo karibu na msamba, au zenyewe ni tofauti kidogo kimaumbile na kiutendaji?
 
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.

Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe pale hotelini Nairobi kwamba omba msamaha, tema Ubunge then Makamanda wa Ufipa watakupokea

Kupigana Vita na Watu wa Nyumbani kwako huku umejificha kwa jirani ni hatari Sana kikafara 🐼

View attachment 2986216

Baadae Mlale Unono 😀😀😂
Hebu tuchoree hiyo picha ya Halima Mdee kwanza ili tukuelewe vizuri...
 
Ndio hivyo kamanda! Tunawaheshimu lakini wanapofikia kuwaita viongozi wetu ambao kila aina ya mateso wamepitia vichaa uvumilivu na uungwana unatuishia hadi tunakumbuka tabia zao binafsi. Na wasidhani tabia za kusuguana zinafurahisha jamii ebo!
Sure kiongozi
 
WaTanzania wengi sasa wanajuwa kwamba HOJA ZA LISSU zina UKWELI

Mpaka sasa upande ule hakuna hata moja aliyezijibu ni KUPUYANGATU
Hoja za lisu ni ugolo mtupu. Happy kazipangua zote. Labda kama umeamua kwamba hutaelewa mtu yeyote ispokuwa lisu hapo sawa.
 
Back
Top Bottom