Wewe ndiye mwanamke wa kwanza kulikataa jukwaa la MMU na kulipenda zaidi jukwaa la vita hapa JF!!unadhani Fat man likidondoshwa New york City na Punk man likatua Washngton Dc Dunia itakuwepo?
au Mhiroshima wa Trump ukidondoshwa busan sijui wapi kwa Kimjong tu siutasambaratisha korea nzima mpaka na mataifa jirani!!!!
na wakati huo sisi wanyonge tutakua katika hali Gani?
Mungu awape hao viongozi kauli thabiti, wasisababishe maafa kwa wanannchi wasio na hatia
Afu mpaka mimi najishangaaWewe ndiye mwanamke wa kwanza kulikataa jukwaa la MMU na kulipenda jukwaa la vita hapa JF!!
Usipojifunza kimojawapo angalao wrestling utakuwa hujuitendea haki nafsi yako!!Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted
michezo mara Wwe
Afu ukiniona huwezi nidhania
KwakweliUsipojifunza kimojawapo angalao wrestling utakuwa hujuitendea haki nafsi yako!!
Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted
michezo mara Wwe
Afu ukiniona huwezi nidhania
et eehwe ni jembe...jifunze kwanza kujilinda afu endelea kufuatilia hizi vitu
missile weapon ya kim yote ikienda woshington dc ivi itakuwaje?unadhani Fat man likidondoshwa New york City na Punk man likatua Washngton Dc Dunia itakuwepo?
au Mhiroshima wa Trump ukidondoshwa busan sijui wapi kwa Kimjong tu siutasambaratisha korea nzima mpaka na mataifa jirani!!!!
na wakati huo sisi wanyonge tutakua katika hali Gani?
Mungu awape hao viongozi kauli thabiti, wasisababishe maafa kwa wanannchi wasio na hatia
Hivi wewe kwa akili yako NK wanaweza pigana na US. Hii ni sawasawa na Panya kupigana na SimbaKwa anaejua lolote kuhusu chanzo cha ugomvi juu ya hizi nchi mbili zenye ubabe mwingi wa maneno.
Kwa anaejua kwa kina na alete uchambuzi kwa hawa watu;
1. Kim
2. Trump
Sababu zipi zinawafanya wasipigane? Na zipi zinawafanya wasikubali kukaa meza moja kisuluhisha utata baina yao?
Kwa anaejua lolote kwa undani atupe elimu ya bure na tujifunze kitu.
Nawasilisha
nenda kajifunze judoAfu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted
michezo mara Wwe
Afu ukiniona huwezi nidhania
wewe hujui kitu kweli N.korea hawezi kupigana na USA lakini itafikia kipindi ataweza kwasababu mojatu marekani anajua akipigana na N.k atashuka kiuchumi mno na akimuacha N.korea aendelee kutengeneza (nuclear weapon) atakuja kuzidiwa baadae n.k itakuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza (missile weapon)Hivi wewe kwa akili yako NK wanaweza pigana na US. Hii ni sawasawa na Panya kupigana na Simba
Nakuhakikishia NK kelele ni nyingi kuliko ngvu za kivita na nyuklia yenyewe. Hayo makombora yaliyojaribiwa ni mangapi yalifanikiwa? US wanachofanya sasa ni kutafuta namna ya kumzika kama Osama bila hata ya kuwapiga raia wasio na hatia. Nukuu maneno yang baada ya hayo malimbano. Siwapendi wamarekani kihivyo lakini hiki kifalme kilichojitenga na ulimwengu na ustaarabu wa dunia ni hatari kwa kila mtuwewe hujui kitu kweli N.korea hawezi kupigana na USA lakini itafikia kipindi ataweza kwasababu mojatu marekani anajua akipigana na N.k atashuka kiuchumi mno na akimuacha N.korea aendelee kutengeneza (nuclear weapon) atakuja kuzidiwa baadae n.k itakuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza (missile weapon)
Uchumi wa US utashuka tu vita vikidumu muda mrefu. Mataifa haya makubwa yana reserve kubwa ya kucope na vita sio kama Tz na nduli Iddi Amin miaka hiyo ya 70s. Nakuapia NK hawahitaj Marekan ipigane nayo hata Walmart na supermarket zake anamuweza huyi KnNakuhakikishia NK kelele ni nyingi kuliko ngvu za kivita na nyuklia yenyewe. Hayo makombora yaliyojaribiwa ni mangapi yalifanikiwa? US wanachofanya sasa ni kutafuta namna ya kumzika kama Osama bila hata ya kuwapiga raia wasio na hatia. Nukuu maneno yang baada ya hayo malimbano. Siwapendi wamarekani kihivyo lakini hiki kifalme kilichojitenga na ulimwengu na ustaarabu wa dunia ni hatari kwa kila mtu
Usikariri ukubwa mkuu...Fisi maji pamoja na udogo wake ana uwezo wa kumtimua simbaHivi wewe kwa akili yako NK wanaweza pigana na US. Hii ni sawasawa na Panya kupigana na Simba